Ujinga Wa Utoto

Ujinga Wa Utoto

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
969
Reaction score
3,065
1.Nilipokua mdogo, nilikua naona watu wakubwa Wana Raha sana ktk Maisha wanafanya Kila watakacho. Baada ya kua mtu mzima mambo ni Tofauti.
2. Nilipokua mdogo nilikua najua Askali awafi....
3.Nilikua mdogo nilikua najua Nesi akikuchoma sindano Hapo Hapo unapona, pia Nesi akikuchoma sindano anakubembeleza.
4.nilipokua mdogo nilikua najua Watoto wanapatikana mwananyamala Hospital.
 
Tuliosoma primary miaka ya 90 kurudi nyuma hadi 80s, mimi nilisomea kijijini sana interior kweli kweli. Watoto wa walimu pekee ndo walikuwa wanavaa viatu vya raba (zile za kampuni ya Bora Shoe Company). Sisi wengine tulivaa katambuga, zile za matairi. Walimu walitusisitiza kuvaa viatu hapo walimaanisha hivyo vya tairi. Alafu watoto wa walimu uniform zao zilikuwa safi kila siku, sasa mimi nikawa najua watoto wa walimu huwa nguo zao hazichafuki. Alafu niliwaona kama wapo daraja lingine kabisa duniani.
 
Haha! Mi nilipokuwa mdogo nilikuwa nikiona tangazo la vaa kondomu ni kwamba mtu anatakiwa avae kondomu muda wote!, yani hata akiwa anatembea awe amevaa kondomu!..😂
Nilivyokuwa ndo nikajakuelewa kumbe huwa inavaliwa muda gani!.
 
Nilipokuwa mdogo niliamini wazazi wetu wanaheshimiana sana na mama anamuogopa baba kama tunavyomuogopa sisi

bAada ya kuwa mkubwa na kuwa kwenye ndoa na kuona ndoa zingine nimegundua kumbe wazazi(baba na mama) wao wanadharauriana sana kuona mwenzie kama jinga poyoyo lisilo na akili
 
Mimi nikiona pikipiki dereva nilikuwa namuona kama si binadam halisi kutokana na Ile kofia unakuta amevaa anakuwa kama roboti nilikuwa naogopa sana.

Hizi gari ndogo cruiser nilikuwa najua hazina madirisha wala mlango wa kuingia na kutoka. Kumbuka sikuwahi kuiona imepaki wala kusimama mtu akashuka zilikuwa zinapita daily zipo speed Kali sana. Zilikuwa Toyota cruiser za UN
 
Nilipokuwa mdogo niliamini wazazi wetu wanaheshimiana sana na mama anamuogopa baba kama tunavyomuogopa sisi

bAada ya kuwa mkubwa na kuwa kwenye ndoa na kuona ndoa zingine nimegundua kumbe wazazi(baba na mama) wao wanadharauriana sana kuona mwenzie kama jinga poyoyo lisilo na akili
Dah🤣
 
Nilipokuwa mdogo nilikuwa naamini mambo yote yanawezekana kwa jinsi ninavyo yafikiria kichwani, na kwa uwezo Mungu.

Sasa nimekuwa. Mambo hayawezekani kama ninvyo yafikiri kichwani. Na Mungu uwezo wake kuuona sio mchezo.
 
1.Nilipokua mdogo, nilikua naona watu wakubwa Wana Raha sana ktk Maisha wanafanya Kila watakacho. Baada ya kua mtu mzima mambo ni Tofauti.
2. Nilipokua mdogo nilikua najua Askali awafi....
3.Nilikua mdogo nilikua najua Nesi akikuchoma sindano Hapo Hapo unapona, pia Nesi akikuchoma sindano anakubembeleza.
4.nilipokua mdogo nilikua najua Watoto wanapatikana mwananyamala Hospital.
Kwani Mkuu siku hizi watoto hawapatikani Mwananyamala hospital? Bado haijabadilika pia kuwa wakubwa wana raha sana, i.e kula aina ya mbususu ile roho inapenda hakuna wa kukupangia muda wa kurudi nyumbani labda kama umeshagawa sovereignty kwa kuoa au kuolewa.
Ila yote kwa yote kiukweli ulikuwa ng'ombe sana
 
Kukuzidi wewe ndama.
 
1.Nilipokua mdogo, nilikua naona watu wakubwa Wana Raha sana ktk Maisha wanafanya Kila watakacho. Baada ya kua mtu mzima mambo ni Tofauti.
2. Nilipokua mdogo nilikua najua Askali awafi....
3.Nilikua mdogo nilikua najua Nesi akikuchoma sindano Hapo Hapo unapona, pia Nesi akikuchoma sindano anakubembeleza.
4.nilipokua mdogo nilikua najua Watoto wanapatikana mwananyamala Hospital.
..nilipokuwa mtoto nilijua me na ke wote wana penis ila ya me ni ndefu zaidi, baadaye nikajua tofauti ila nilifikiri vagina imefichama maeneo ya kitovu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom