'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

Nyinyi ndio mliofanya wafanyakazi wawe wezi, ada kila mwaka juu , kodi za nyumba zinapaa , bidhaa muhimu zinafumka tu bei ....hakuna true free economy dunia nzima ....kuna public goods lazima serikali iwe na mkono ...

kabisa mkuu, kula tano
 
Mleta mada shule yako imekudodea ndio maana unapanic, we fikiria ada ya chekechea mpaka 5mln, ni uhuni Huu, kila likizo ya miezi 3 mtoto aende na ream ya karatasi, mwanafunzi wa chekechea anamalizaje hizo ream 3 ? Wizi mtupu.vip mafuta,umeme na Maji au vyombo vya usafri vinapopangiwa bei nako unachukia ?
 
Mkyunduwako, wewe utakuwa kati ya wamiliki wa shule za kufisadi, na inabidi wote mlio juu ya ada elekezi mfunguliwe mashtaka, maana na nyinyi ni mafisadi. Mwanafunzi wa primary analipa ada zaidi ya mwanafunzi wa chuo!.... Alafu unaona umeonewa!. Mnatakiwa mstakiwe na shule zenu zitaifishwe, mmeshavuna sana.
 
Wakati wakipandisha ada hadi milion 200 mbona hukuleta uzi hapa?
 
Mleta Mada Inawezekana Ukawa Na Hoja Tatizo Umeandika Kwa Panic Sana! Yaani Hayo Matusi Ndiyo Yamesound Kuzidi Hoja Zako,jipange Upyaaa!!
 
Subiri hayo maelekezi ndo ujue una hoja ya kuanzisha Uzi au la. Ewura na Sumatra hulalamiki. Hapa umeguswa nini ?

Ndio mafisadi wa Elimu yetu mwaka huu mtakoma poleni sana kama awataki wafungu shule zao
 
Ni kweli kuwa Shule Binafsi zimetufanya Chuma Ulete.... Wazazi wengi wanabebeshwa msalaba mkubwa wa kugharamia elimu ... LAKINI ...CCM na Serikali yake ndo imetufikisha hapa ! Laiti wangekuwa wanatoa Quality education haya yasingetokea!! ... Kumbuka kuwa Hakuna Urithi mzuri zaidi ya Elimu ya Mwanao ..
 
Wewe mwandika una akili mgando,nani kakwambia elimu bora iko kwa shule binafsi,jitambue wewe kuongea kingereza sio elimu mshamba wewe
 
Mleta uzi ni mtu wa ajabu sana..hatuwezi kuwa na taifa linaoendeshwa kama danguro..ni lazima kuwe na kiwango fulani cha udhibiti ili kuepuka mifanyabiashara ya yenye tamaa kuwanyonya wananchi kwa kisingizio cha soko huria..."ngoja na sisi tuishinikize serikali iwatoze kodi stahiki wenye mashule..tuone nani atakuwa mshindi...shule limekuwa chaka la wakwepa kodi tu..hii ni biashara ambayo imeendeshwa bila kulipa kodi kwa muda mrefu sana....licha ya serikali lakini bado wamekuwa wakipandisha karo kama vile nchi hii ni matajiri tu.. wametuharibia nchi kwa kutengeneza matabaka ya kielimu....sasa mwisho wa ubaguzi wa kielimu umefika....kama kujinyonga jinyonge..hatuwezi kuvumilia upuuzi wa nashule haya...ENOUGH IS ENOUGH
 
!hahahaa! Kubabaake jamaa kala za uso mpaka kanywea anajuta kuanzisha upuuzi huu.

Mlizoea shamba la bibi ada ya shule ya msingi imezidi ya chuo mmetunyonya kweli vimbweka nyinyi.
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta! Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi". Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule! Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?! Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

Ushauri; kama shule yako iko karibu na barabara kuu BADILI iwe choo cha wasafiri 200 kwa haja ndogo zitakufaa. NAPITA TU nitasoma comment baadae
 
Huyu jamaa pumba kabisa yani unamaanisha kindergarten halali kulipa milioni 7??Hii nchi lazima kuwepo na utawala wa sheria hivyo lazima mfate masharti kuliko kuwaibia wananchi!

mwananchi haibiwi kwenye shule binafsi... kama anaona anaibiwa angeenda shule za serikali
 
Mkyunduwako, wewe utakuwa kati ya wamiliki wa shule za kufisadi, na inabidi wote mlio juu ya ada elekezi mfunguliwe mashtaka, maana na nyinyi ni mafisadi. Mwanafunzi wa primary analipa ada zaidi ya mwanafunzi wa chuo!.... Alafu unaona umeonewa!. Mnatakiwa mstakiwe na shule zenu zitaifishwe, mmeshavuna sana.

Tena naomba JPM aanze na hawa Tusiime, ada zao ni majanga!
 
ukute mleta mada ni yule mama wa milioni kumi...pesa ya mboga....
NAE ANASHULE...
 
Back
Top Bottom