Ujinga tutaacha lini?

unakula bhang gani wewe au unataka nianze na wewe
Sili bhang yoyote mkuu, nimekupa pole na nini ufanye kama hutaki kutongozwa tongozwa. samahani kama nimeingilia privacy yako na hao jamaa. Tafadhali usianze na mimi, sijawahi kukuita dem kama ulivyosema.
 
Ipo cku ntafanya mtu kama yule juma kanani wa fb. Jamaa alinitukana akatosheka bila kujua ni jirani yangu mara mwisho nilimfata nkampa vitasa vya maana. Sasa ngoja wajione ati ni fake ids na email inasoma uliko pumbavu. Kuna mmoja wa kinondoni nataka nimtolee mfano
 
Sili bhang yoyote mkuu, nimekupa pole na nini ufanye kama hutaki kutongozwa tongozwa. samahani kama nimeingilia privacy yako na hao jamaa. Tafadhali usianze na mimi, sijawahi kukuita dem kama ulivyosema.
jpili nitafute nikununulie hata konyagi coz nimeona unajielewa ila kama utakuwa ndan ya dar mimi ntakuja maeneo ya karbu tushushe konyagi
 
Aisee.. 😂
Hii dunia kuna watu wanateseka na vitu trivial sana...

Yani kwa wenzetu mtu anazaliwa mwanaume, inafika muda mpaka yeye mwenyewe anaamua kubadilisha jinsia na hawazi ila bongo mtu kuitwa tu wa kike anataka ajiuwe.

Mkuu achana na attachment na maneno ya watu
 
☺️😁 Kuchanganyikiwa Kila mtu kwa zamu yake.
 
WAnaume wa huku wanatongoza, hawajali.
 
CHAI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…