Ujinga Sitaki

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Kila nikienda kwenye harusi wazee wananambia "Bado wewe tu"

Na mimi nimeanza kuwaambia hivyo hivyo tukikutatana kwenye
Mazishi

Sitaki ujinga :rolleyes::rolleyes::rolleyes:
 
Nina mashaka kidogo kama umeukataa au umeueneza ujinga, kwasababu harusi unaweza kukwepa kwenye maisha yako lakini si kifo, wote tuko njia moja, kutangulia umri siyo kutangulia kufa
 
Nina mashaka kidogo kama umeukataa au umeueneza ujinga, kwasababu harusi unaweza kukwepa kwenye maisha yako lakini si kifo, wote tuko njia moja, kutangulia umri siyo kutangulia kufa
Ondoa shaka mkuu.... me sipendi kabisa huo ujinga :):)
 
Nami nikajaribu kumwambia mzee m1 hivi msibani alinitia mkwaju nikaangukia kaburini
sikuigi tena
 
H
Nami nikajaribu kumwambia mzee m1 hivi msibani alinitia mkwaju nikaangukia kaburini
sikuigi tena
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom