The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 39,793 Reaction score 123,830 Apr 30, 2014 #21 Ujinga ni kuamini ya kuwa utakuwa masikini mpaka kufa kwako..!!
nkungwe123 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 444 Reaction score 95 Apr 30, 2014 Thread starter #22 CleverKING said: Ujinga ni kufikiri ya kuwa utakuwa masikini mpaka kufa kwako..!! Click to expand... Hakikaaa hii inakua imezidi
CleverKING said: Ujinga ni kufikiri ya kuwa utakuwa masikini mpaka kufa kwako..!! Click to expand... Hakikaaa hii inakua imezidi
Mrs Kharusy JF-Expert Member Joined Sep 23, 2013 Posts 1,244 Reaction score 672 Apr 30, 2014 #23 Ujinga ni kusuka nywele kwa 50000+ halafu ukaanza kukopa hela ya kula
Voli kitoki JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 365 Reaction score 92 May 2, 2014 #24 Ujinga ni kumnunulia kimshtobe kuku wakati mama watoto wako umemwachia buku.
Voli kitoki JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 365 Reaction score 92 May 2, 2014 #25 Mrs Kharusy said: Ujinga ni kusuka nywele kwa 50000+ halafu ukaanza kukopa hela ya kula Click to expand... Halafu unatuma tafadhali nipigie/Please call me! From/kutoka 076XXXXXXX Vodacom kazi ni kwako
Mrs Kharusy said: Ujinga ni kusuka nywele kwa 50000+ halafu ukaanza kukopa hela ya kula Click to expand... Halafu unatuma tafadhali nipigie/Please call me! From/kutoka 076XXXXXXX Vodacom kazi ni kwako
nkungwe123 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 444 Reaction score 95 May 2, 2014 Thread starter #26 NDIPO said: Ujinga ni kumnunulia kimshtobe kuku wakati mama watoto wako umemwachia buku. Click to expand... Ujinga ni kimpigia simu demu wako kila siku hafu mama ako mzazi unamsahau
NDIPO said: Ujinga ni kumnunulia kimshtobe kuku wakati mama watoto wako umemwachia buku. Click to expand... Ujinga ni kimpigia simu demu wako kila siku hafu mama ako mzazi unamsahau