Ujinga ni kujiona mbabe wakati unacheza unfair

Ujinga ni kujiona mbabe wakati unacheza unfair

Sijang'amua kitu..!! Aliye muelewa mleta Uzi naomba anifahamishe.

Mimi sio Muhenga..naomba assist, tafadhali..
Kwa umri wako wa miaka 47 wewe ni muhenga tena mwandamizi[emoji23] [emoji23]
 

Attachments

  • Screenshot_2017-07-08-08-14-25.png
    Screenshot_2017-07-08-08-14-25.png
    18.4 KB · Views: 24
Unamaanisha mechi iliyoisha hivi punde ya mshindi wa 3 cosafa kati ya stars na lesotho?
au
pambano lililokuwa na utata kati ya pacguiao na mcgregory?
nadhani kuta kitu zaidi unamaanisha
[HASHTAG]#HappyBirthdayToMe[/HASHTAG]

Happy birthday Mkuu. Hata Mimi Leo birthday yangu bhana.
 
kinyajuly072017.jpg


Kam akweli unajiamini unaweza na mpinzani wako hakuwezi kwa nini upigane naye huku umemfunga kamba za mikono na miguu? mbaya zaidi majaji wa pambano umewachagua wewe na unawalipa?
cha kuchekesha eti mwishoni wewe na mashabiki zako wanashangalia ushindi,kama kweli unajiamini,mfungulie kamba weka majaji walio fair halafu tuone mpambano wa kweli.
 
Back
Top Bottom