ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,013
Kam akweli unajiamini unaweza na mpinzani wako hakuwezi kwa nini upigane naye huku umemfunga kamba za mikono na miguu? mbaya zaidi majaji wa pambano umewachagua wewe na unawalipa?
cha kuchekesha eti mwishoni wewe na mashabiki zako wanashangalia ushindi,kama kweli unajiamini,mfungulie kamba weka majaji walio fair halafu tuone mpambano wa kweli.
cha kuchekesha eti mwishoni wewe na mashabiki zako wanashangalia ushindi,kama kweli unajiamini,mfungulie kamba weka majaji walio fair halafu tuone mpambano wa kweli.