Ujinga ni kufahamu sisi soote tumeumbwa kuwa Viongozi au Matajiri
Ujinga ni kuamini usiku na mchana vinafanana
Ujinga ni kuamini kuwa sisi tumeumbwa ili tumpe fulani ulaji
Ujinga ni kuamini, kila kinachotoka mdomo mwa mtu usiemjua chimbuko lake kisha ukaamini maneno yake
Ujinga ni kutothamini mawazo chanya na kukumbatia mawazo hasi
Ujinga ni kuona yote yaliyofanywa na Chama Tawala ni makosa, ila yatayofanywa na hao ..... ndio sahihi
Ujinga ni kukumbatia ndoto, ukatukana uhalisia
Ujinga ni kuendelea na Ujinga wako, huku ukiwa na ndoto za kuokota hela bila kufanya kazi kwa bidiii
Ujinga ni kusahau asili ya Wazungu na maono yao dhidi ya Waafrika
Ujinga ni kuendelea kuandika Ujinga wako
Ujinga ni kupoteza muda na mjinga wewe
Samahani
Mimi sitaki kuwa Mjinga Chief
Mjinga hubaki na ujinga wake, naomba ubaki hivyohivyo
Mpuuzi mmoja wewe
Ujinga ni kumuita CHALII mtu usiyemjua
Ujinga ni kuamini tumekuja kutafuta ugali na kutulia na familia mpaka KUFA, huku binadamu wachache wakijilimbikizia mali na binadamu wachache wakitaabika kwa umaskini.
Ujinga ni kushindwa kujua lengo lako la kuwepo duniani. Ujinga ni kujiwekea Limitation za kuishi na kufikiri pasipo kuwaza vizazi vingine
Ujinga ni kuwa MBINAFSI