UJINGA HUU UKEMEWE

CHAPTER5

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
556
506
Ndugu wana jf napenda kutoa rai kwenu
Yakuwa kumezuka kamtindo cha watu fulani kushabikia na kuunga mkono matamko yasiyo na tija katika ukuaji wa uchumi wa taifa letu kongwe la Tanzania
Kwa kuendelea kuunga mkono Kauli za viongozi hao wasiolitakia mema taifa hili tutaendelea kushushiwa laana mbalimbali toka kwa Mungu
Eti kuna viongozi wengine wanafikia hatua ya kujiita wao ni Mungu huku baadhi ya watanzania wakimpigia makofi kuonesha kufurahishwa na kitendo hicho.
Ndugu wana jf tushirikiane kwa pamoja kuhakikisha kizazi hiki kinacho shabikia kiholela matamko yasiyo na tija kinakoma February hii.
 
Hii nilikua sijaipata. Ila kama kuna mtanzania anajiita MUNGU tumkumbushe tu kuwa MUNGU HADHIHAKIWI. Aombe toba na atuombe radhi Watanzania na hao mbululaz wake.
 
Mi nlitegemea utaomba ushahidi wa aliyejiita mungu uuone/kuusikia ndo ukomenti.
 
Ndugu wana jf napenda kutoa rai kwenu
Yakuwa kumezuka kamtindo cha watu fulani kushabikia na kuunga mkono matamko yasiyo na tija katika ukuaji wa uchumi wa taifa letu kongwe la Tanzania
Kwa kuendelea kuunga mkono Kauli za viongozi hao wasiolitakia mema taifa hili tutaendelea kushushiwa laana mbalimbali toka kwa Mungu
Eti kuna viongozi wengine wanafikia hatua ya kujiita wao ni Mungu huku baadhi ya watanzania wakimpigia makofi kuonesha kufurahishwa na kitendo hicho.
Ndugu wana jf tushirikiane kwa pamoja kuhakikisha kizazi hiki kinacho shabikia kiholela matamko yasiyo na tija kinakoma February hii.
Acha kumbwela kesho zamu yako kutajwa mnajulikana wote,,
 
Back
Top Bottom