Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Hivi kwa haya mambo ya magufuli kuna mtu atadhamiria kuhujumu mali za serikali?Hizo ndege zitahujumiwa tu... lets wait n see
Hivi kwa haya mambo ya magufuli kuna mtu atadhamiria kuhujumu mali za serikali?Hizo ndege zitahujumiwa tu... lets wait n see
Nilidhani ni ndege za abiria...khaaa!!
Nilidhani ni ndege za abiria...khaaa!!
Kwani wapi imesemwa sio za abiria?
Ujerumani imeipatia Tanzania ndege mbili kwa ajili za kufanyia doria katika mbuga zetu ili kukabiliana na ujangili