Ujerumani yaipa Tanzania ndege mbili

Ujerumani yaipa Tanzania ndege mbili

MsamiKowalski

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2015
Posts
285
Reaction score
56
Ujerumani imeipatia Tanzania ndege mbili kwa ajili za kufanyia doria katika mbuga zetu ili kukabiliana na ujangili, ndege zitapitia nchini Kenya na kisha kuja Tanzania.

Hayo yamesemwa na waziri wa ujerumani alipofanya ziara yake Tanzania katika mji wa Arusha.

Chanzo: Radio One Stereo
 
Nilidhani ni ndege za abiria...khaaa!!
 
Ina maana Ujerumani inapenda wanyama wetu kuliko sisi?

There is definitely going to be a hit somewhere.
Nachojua angalau ni kuwa Ujerumani ni moja kati ya nchi zinazoleta watalii wengi zaidi hapa Tanzania.
Na watalii wake wengi wanapendelea tours za Northen circuit~ game drives kuliko mountain climbs.

Most Germans are super organized and business oriented. It may be a way to propose something coz in this life its give and take.
 
Hizo ndege zitahujumiwa tu... lets wait n see
 
Kila kitu hapa ni kwa msaada wa wahisani.MAGUFULI BADILISHA HII HULKA
 
Ni vizuri kupata ndege hizi lakin tatizo hapa ninaloliona ni watanzania kuwa washabiki bila kuwa wadadis wa mambo sina tatizo kama mashariti ni yakawaida ila kwa kuwa watu wa Ugaibun wapo after Business sina imani na mashati tuliyopewa ni mtazamo wangu tu
 
wewe menyewe huna uhakika na unachokisema. huku nako ni kutojitambua.
 
Ina maana Ujerumani inapenda wanyama wetu kuliko sisi?

There is definitely going to be a hit somewhere.
Nachojua angalau ni kuwa Ujerumani ni moja kati ya nchi zinazoleta watalii wengi zaidi hapa Tanzania.
Na watalii wake wengi wanapendelea tours za Northen circuit~ game drives kuliko mountain climbs.

Most Germans are super organized and business oriented. It may be a way to propose something coz in this life its give and take.

na wewe unataka uloinwe kama Tembo?, jilinde mwenyewe akili unazo.
 
Ujerumani imeipatia Tanzania ndege mbili kwaajili za kufanyia doria katika mbuga zetu ili kuka biliana na ujangili, ndege zitapitia nchini Kenya na kisha kuja Tz.
Hayo yamesemwa na waiziri wa ujerumani alipofanya ziara yake Tanzania katika mji wa Arusha.

Chanzo: Radio One Stereo

Embu ngoja kwanza..kuna kitu hakipo sawa hapa.
Hawa wajerumani ndio wenye ile kampuni inaitwa GIZ..na ile GIZ uhusiano wake na game reserves zetu si unajulikana kabisa?. Anyways ngoja tusubiri tuone kama zitakua tumepewa Tanzania (kwamba zitakua mali yetu) au Tumepewa Tanzania kwa sababu tu zimeingizwa nchini (Wamiliki watakua wengine)
 
maka na kwa kulinda wanyama sawa. sjiu helkopta za wamerikani ziko wapi nazo
 
Hivi wale Majangili 40 hivi wanaojulikana aliowasema Rais Mstaafu walishakamatwa? Na je, wale waliokuwa wanahojiwa na Tv ya Al-Jazira kule maeneo ya Mwenge nao wako keko?

Nadhani kupambana na ujangili wala hatuhitaji ndege, vifaru wala AK 25. Tunahitaji kuzuia tu wanunuzi wa nyara hizo, kudhibiti njia zote zinazotumika kusafirishia nyara hizo na kuhakikisha kuwa wanaokamatwa wanachukuliwa hatua kali.

Jingine ni kuhakikisha kunakuwepo na ulinzi shirikishi kwa kuwatumia wananchi wanaozunguka hifadhi zetu. Hili litawezekana kwa kuhakikisha kuwa na wao wanafaidika na rasili mali hizo!
 
Sidhani kama kuzuia ujangili kunahitaji ndege wakati majangili yanafahamika kabisa!
 
Back
Top Bottom