Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Chato: Constructive criticism

Wilayani kwenu ni watu/wananchi wangapi wenye uwezo wa kusafiri na ndege kama usafiri wa kila mara (regular traveling) kwa kutumia hela zao? Mimi huku Babati hakuna wanachi wenye uwezo huo. Mwananchi wa kawaida wa Ngara anasafiri kwa ndege kwenda wapi wakati Enttebe enyewe anaweza kwenda kwa toyo?
Development is dynamic. Please replace your static with equally dynamic thinking! Hakuna aliyezaliwa asisafiri kwa choice ya usafiri autakao. Usiwasemee watu kwa kutumia hisia zako tu.
 
Ipo hoja kwamba kuna upendeleo au kuna uamuzi mbaya kuhusiana na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Chato.

Naona ukosoaji mwingi unalenga kwenye hoja ya Rais kujipendelea kwa kuwa anatoka chato.

Ieleweke kuwa Chato ni sehemu muhimu ya Tanzania kama zilivyo sehemu nyingine regardless kwamba anatoka Rais wa JMT au la.

Chato inahitaji maendeleo kama vile sehemu nyingi nyinginezo nchini Tanzania tena kwa umuhimu ule ule kama zilivyo sehemu nyingi nchini.

Chato haiwezi kutengwa kwenye miradi ya maendeleo kisa tu kuogopa maneno ya wanasiasa juu yake hasa hasa kipindi hiki ambacho Rais anatokea huko.

Sasa ili tuwe honest ni vyema tukajadili gharama za mradi wa kunoresha airport ya Chato ukilinganisha na manufaa yake au athari zake kiuchumi.

mjadala huu usilenge sana maswala ya kisiasa bali ulenge athari na faida za kiuchumi kwa uwazi kabisa.

Je mradi wa Chato umegharimu kiasi gani?ninavyofahamu mradi utagharimu bilioni 39 na ushee.

Je gharama hizi zimeathiri huduma gani za nchi?

Je baada ya kukamilika mradi huu utazalisha kiasi gani kulinganisha na sasa?

Ningependa kuona maoni ya wachumi waliomo humu.
mweshimiwa nikupe tu mitazamo ya sasa kwa watanzania wenzetu,kwa miunga yote tokea ccm imekaa madarakani watu wameichoka hata ikitenda mabaya au mazuri wamechoka tu,hapa uta ambulia matusi kwa watu wanao jiona wana upeo kuliko vitu vyote
 
Ipo hoja kwamba kuna upendeleo au kuna uamuzi mbaya kuhusiana na upanuzi wa uwanja wa ndege wa Chato.

Naona ukosoaji mwingi unalenga kwenye hoja ya Rais kujipendelea kwa kuwa anatoka chato.

Ieleweke kuwa Chato ni sehemu muhimu ya Tanzania kama zilivyo sehemu nyingine regardless kwamba anatoka Rais wa JMT au la.

Chato inahitaji maendeleo kama vile sehemu nyingi nyinginezo nchini Tanzania tena kwa umuhimu ule ule kama zilivyo sehemu nyingi nchini.

Chato haiwezi kutengwa kwenye miradi ya maendeleo kisa tu kuogopa maneno ya wanasiasa juu yake hasa hasa kipindi hiki ambacho Rais anatokea huko.

Sasa ili tuwe honest ni vyema tukajadili gharama za mradi wa kunoresha airport ya Chato ukilinganisha na manufaa yake au athari zake kiuchumi.

mjadala huu usilenge sana maswala ya kisiasa bali ulenge athari na faida za kiuchumi kwa uwazi kabisa.

Je mradi wa Chato umegharimu kiasi gani?ninavyofahamu mradi utagharimu bilioni 39 na ushee.

Je gharama hizi zimeathiri huduma gani za nchi?

Je baada ya kukamilika mradi huu utazalisha kiasi gani kulinganisha na sasa?

Ningependa kuona maoni ya wachumi waliomo humu.
Hahaha kinyago cha mpapure
 
Njoo tupe mrejesho bwashee
 
Back
Top Bottom