Wewe unapendekeza kujengwa hospitality badala ya airport! Ni hatari iwapo hata hufahamu kuwa polisi, magereza, mahakama na hospitali ni negative development.
Inatakiwa kuwa na wagonjwa wengi kuamua kujenga hospitality pahali. Likewise, kuwe na wahalifu/uhalifu mwingi ili kujenga/kupanua vituo vya polisi, mahakama au magereza.
Ni kuishiwa fikra kwa kiwango cha hali ya just iwapo Kuna kiongozi au mwananchi wa kawaida asiyeweza kuona umuhimu (efficiency) wa kuwa na usafiri wa ndege kwa kila wilaya. Baada ya kumaliza Chato inatakiwa kupanuliwa airdrome ya pale Biharamulo (Katoke), Ngara (Kabanga), Karagwe (Ihembe) na hata kila wilaya.
Watanzania wasiendelee kupoteza muda kwenye kusafiria badala ya kufanya kazi. Fikra za wapinzani kwa sasa Ni mufilisi kabisa, delivering non-content shouts. Who cares!