Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Tukiitwa nyani tunaandamanaWeusi kwenye kusakafia na weupe kwenye computer... Nchi za Wenzetu mzawa kwenye komputer na mgeni ndio sakafuni
Tukiitwa nyani tunaandamanaWeusi kwenye kusakafia na weupe kwenye computer... Nchi za Wenzetu mzawa kwenye komputer na mgeni ndio sakafuni
Haijawahi tokea tukaitwa au tutaitwa tukaandamana...,, kwanza uandamane wapi? sisi tukiitwa hivyo la kwetu huwa tunajibu wao ni NguruweTukiitwa nyani tunaandamana
Wewe hujui kuwa mtu mweusi ni nyani? Low iq?Haijawahi tokea tukaitwa au tutaitwa tukaandamana...,, kwanza uandamane wapi? sisi tukiitwa hivyo la kwetu huwa tunajibu wao ni Nguruwe
Inaweza kuwa ni ukweli ama uogo.Kuna vingine havihitaji porojo sasa hapo kampuni ngapi za wazawa zenye uwezo wa kufanya mradi kama huo, Nchi za wenzetu kina nani hao wenzetu?
Kuna wakati lazima tukubali ukweli kuwa bado hatuna uwezo lakini tunakua, Tanzania ya miaka 50 iliyopita ni tofauti na ya leo, Hao wanaoziangalia kompyuta hawakuibuka na kujikuta wanaziangalia tu
Wewe Nifah, kwa hio tukiwa na ndege moja tu, hatustahili kujenga viwanja vya ndege mpaka tuwe na ndege nyingi?Wewe ni zaidi ya janga, hata kama ni hizo buku7 lakini muwe mnaangalia na pa kuleta masikhara.
Jamaa anasikitika tuna ndege 1 wewe unamuuliza alitakaje?
Hilo mimi silijui. Wewe unajua lipi kwani?Wewe hujui kuwa mtu mweusi ni nyani? Low iq?
Mdogo mdogo, naona kuna maendeleo kidogo.
tunalizindua ndani ya huu mwaka
Tunasubiri, June hii.Jengo litazinduliwa mwaka huu wa 2018
hapo ni gud sana....Tunasubiri, June hii.
ameenMwenye Enzi Mungu atuongoze milele yote!
Weka picha mkuuNa sasa ujenzi umeisha.