Ujenzi wa Subway Trains jijini Dar

Sina muda wa kusoma kila post nimekwambia. Niwekee hapa hicho kilichosemwa kuhusu Egypt na underground train nione kama hiyo inapingana na ninachokisema. Kama huwezi kufanya hivyo kaa kimya.

Tiba


'No research no right to speak', sasa kama huna muda wa kusoma umefata nini hapa? Una comment mambo usiyoyajua? Mradi tu uonekane na wewe umechangia or?
 
'No research no right to speak', sasa kama huna muda wa kusoma umefata nini hapa? Una comment mambo usiyoyajua? Mradi tu uonekane na wewe umechangia or?

Huna haja ya kuendelea kubishana na mimi kama huwezi kuweka hicho kilichozungumzwa kuhus Egypt kuwa na underground train au la. Jibu swali rahisi tu hapa, je Egypt ina undergound train au haina?

Tiba
 

Kwa jiji hili lisilopangwa sioni umuhimu wa miradi ya aina hii naamini tunahitaji kulifumua fumu jiji letu kisha ndipo miradi ya namna hii ije angalia kwa mfano maeneo ya buguruni, kigogo magomeni mwananyamala km zisizo zidi kumi tu kutoka katikati ya mji kulivyo hovyo kimipango miji!!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu umeme wa uhakika wa kuendesha hizo subway trains uko wapi?
 
monaco
Tutumie kura vizuri kuwaondoa waliochoka na kuweka vijana wenye ari.

Kweli kabisa tatizo ni hawa wazee walioshika madaraka mda mrefu. Ushamba uwoga ubinafsi ndo vimewajaa hawajui kitu, How this world change na vipi kwenda na mabadiliko tunabaki kujenga miradi ya pesa nyingi ambayo wenzetu walijenga miaka ya 90 huko.
 
Last edited by a moderator:
Kweli kabisa tatizo ni hawa wazee walioshika madaraka mda mrefu. Ushamba uwoga ubinafsi ndo vimewajaa hawajui kitu, How this world change na vipi kwenda na mabadiliko tunabaki kujenga miradi ya pesa nyingi ambayo wenzetu walijenga miaka ya 90 huko.
Kule Tabata kuna miradi ya KINYEREZI I - IV, tena itatumia gesi yetu wenyewe.., Umeme utakuwepo bila shaka..!
 
uchumi wetu hatuwezi kabisa kwa sababu wanaotaja kuwa wanawaishwa kazini hawana kazi hata wakipewa kazi hawaziwezi kazi ni kulalama tu nakuvizia kuiibia serikali.
 
uchumi wetu hatuwezi kabisa kwa sababu wanaotaja kuwa wanawaishwa kazini hawana kazi hata wakipewa kazi hawaziwezi kazi ni kulalama tu nakuvizia kuiibia serikali.

Kama Ethiopia wamemaliza ujenzi wa light rail sisi tunashindwaje hata tram?
 
Ufisadi mbaya sana yote ya subway na hata city train yangewezekana!tatizo pesa ya umma inachotwa sana hapa kwetu na wachotaji wapo tu na pengine wanalindwa
 
Reli hiyo simple zasimamishwa nguzo katikati ya barabara mbili sasa lile eneo la kati na wala si eneo kubwa ni kama upana wa mita mbili au tatu nguzo hizo zinabeba reli ambayo inapitisha train mbili ya kwenda na kurudi,mfano hapa kwetu route zingeanzia posta to kongowe,posta to kibamba,posta to bunju,posta to gongola mboto,walichofanya wao kila baada ya dk 5 kinaonfoka ki train kimoja kutoka mfano posta,na hivyohiyo kila baada ya.dk 5 kinaondoka bunju kuja posta huko juu vinapishana vizuri tu navinakua vingi na kila kimoja kina uwezo wa kuchukua watu hata zaidi ya 50 so huduma ya usafiri inakua bora sana huwezi chelewa sehemu zaidi ya dk 30!na chini usafiri wa magari waendelea kama kawaida ktk barabara zote mbili,so hii ni changamoto kwetu Tz kwani Hawa Malaysia uhuru ni kama tulipata wakati mmoja je joulize wao wamewezaje?
 
Nchi hii hakuna kusonga mbele.. ni mwendo wa kurudi kinyumenyume tu.
 
BRT nilianza kuisikia tangu mwaka 2005. miaka kumi baadae haiisha. tuna mipango mmatope?
 
 
Mkuu, kwa mimi naona afadhari ya huu mradi wa BRT kuliko subway, kwa ninavyojua kwa uelewa wangu subway trains nyingi huwa zinatumia umeme kama chanzo cha nishati, sasa kwa umeme wetu huu wa Tz si tutafia kwenye vituo tukisubiri umeme uje baada ya kukatika badala ya kusubiri train
 

Gesi si mnayo nyingi tu songosongo
Tatizo liko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…