Ujenzi wa Subway Trains jijini Dar

napenda sana watu mnaotoa maelezo kwa uhakika sio kubahatisha
 
DON FRANCIS!!!! ......underground train subways, nchi hii??? kama ya surface tu imetushinda, underground itamaliza wananchi wengi sana
 
Last edited by a moderator:
Nadhani wange jenga over ground light railway network ingekua vizuri zaidi.Japo sijui gharama zake lakini inge okoa sana nafasi , inge punguza pia msongamano wa abiria kwa urahisi zaidi. Ila mwisho wa siku BRT ni dili la wakubwa kwa sababu mradi uki kamilika lazima ita tafutwa kampuni ya kupewa tenda.
Tuna UDA ambayo ni kampuni binafsi ya usafiri dar lakini naamini kuna vigogo wengi serikalini ambao waliona mbali kabla hata BRT haija anza kujengwa waka amua kujiuzia UDA kwa bei chee na tenda wata shinda wwao.Ni maoni yangu tu.
 
hakika wewe unastahili kupewa membership ya kudumu JF..you are real great thinker...
 
Kiongozi hata kama ingekuwepo kwa umeme upi hasa huo!!!? Huu huu wa Tanesco ambao wanakataga mpaka muhimbili!!!?
 
We toa ndoto zako hapa hii bongo wajenge kwa hela ipi
 
Hizo subway 🚉 underground train, hayo maji ya mafuriko ndio yatakua miundo mbinu yake. Lol kwanza tuboreshe miundo mbinu ya maji taka na mvua kwanza.
 
Alaaa..! mbona hili liko uchi sanaa..
 
Kwa kukusaidia tu maana umeonekana huna uhakika na ulichoandika, Egypt ambayo ni nchi mojawapo ya nchi za Africa ina underground train, hivyo si kweli kwamba hakuna nchi ya Kiafrica ambayo ina underground train.

Tiba
 
Ungekuwa umesoma thread yote (sio kukurupuka) ungeona habari ya Egypt imezungumzwa na imejibiwa.
 
Kwa kukusaidia tu maana umeonekana huna uhakika na ulichoandika, Egypt ambayo ni nchi mojawapo ya nchi za Africa ina underground train, hivyo si kweli kwamba hakuna nchi ya Kiafrica ambayo ina underground train.

Tiba

Kwa nini unataka kunilazimisha kusoma kila kitu. Mimi nimesoma ulichoandika wewe mleta mada. Wengine hatuna muda wa kusoma kila comment. Kubali tu kwamba umechemsha na ni vizuri uka edit hilo bandiko lako kwa ni halisemi ukweli. Egypt kuna underground train, period.

Tiba
 
Mimi sio mleta mada nimechangia tu, ndio maana ulitakiwa kujua muendelezo wa hiyo post unayoidandia kabla ya kukurupuka. Suala la Egypt lilishazungumzwa! Hongera.., na wewe ume-post JF....!!!
 
Mimi sio mleta mada nimechangia tu, ndio maana ulitakiwa kujua muendelezo wa hiyo post unayoidandia kabla ya kukurupuka. Suala la Egypt lilishazungumzwa! Hongera.., na wewe ume-post JF....!!!

Sina muda wa kusoma kila post nimekwambia. Niwekee hapa hicho kilichosemwa kuhusu Egypt na underground train nione kama hiyo inapingana na ninachokisema. Kama huwezi kufanya hivyo kaa kimya.

Tiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…