Ujenzi wa SGR Mwanza to Dodoma uliishia wapi?

Ujenzi wa SGR Mwanza to Dodoma uliishia wapi?

Tulia Mtanganyika...Ujenzi Wa Reli Si Sawa Na Ujenzi Wa Banda La Uani....
 
Hivi ujenzi wa SGR MWANZA TO DODOMA uliishia wapi maana Kimya kimekuwa kingi hatusikii majigambo ya miradi yote inaendelea.
Nasikia kuna chama cha upinzani kimekopeshwa hela, baada ya uchaguz kitaturudishia, na maisha yatenda km kawaida.
 
Back
Top Bottom