Ujenzi wa nyumba ya makazi Mbeya

Ujenzi wa nyumba ya makazi Mbeya

Bwege2030

Member
Joined
May 10, 2025
Posts
84
Reaction score
160
Habari za asubuhi Ndugu zangu, Naombeni mnisaidie bajet ya kununua tofali za block 3000 hapa mbeya.
 
Unahitaji mtaalamu wa kukusaidia kuandaa BOQ or material schedule ambayo itakusaidia kufanya ujenzi wako kwa ubora na kwa gharama nafuu.
 
Back
Top Bottom