Ujenzi wa mji wa kisasa Arusha; mbunge Goodbless Lema naye anahusika?

Does it mean this time is different? Lets hope so! Imekaa kama ile mikataba ya Carl Peters na wakoloni kugawana Africa
 
Mura MM.

Mkuu hapo unakosea ungesema 2010 - 2012 au umesahau Kamanda Lema ana kesi mahakama kuu imemkalia kooni hadi anakodisha Toyo zimsindikeze mahakamani ahaaa aaa.

Mura umesahau nilimsifu sana alipoongoza ibada ya kumfufua mfu ahaa.

Ha ha haaa,,, Ngongo bana.

Umeona sasa sifa unazompa mheshimiwa mbunge wako!?

Hilo la kesi naona linawapa matumaini makubwa anti chadema wote, especially ccm, na hapo ndipo una reveal your position kwamba hauko huru. Ha ha haa!!
 
Takuja mkuu, ngoja kwanza jamaa wa Dubai waanze ujenzi wa Jiji letu la Arusha
Kwahiyo wewe na akili zako unatarajia hao jamaa wa Dubai watatujengea jiji Arusha kweli unaota.. kumbuka Kikwete alisaini mkataba na wa-Malasia tangu May 2010 (Bofya hapa) mpaka leo hakuna chochote zaidi ya porojo, kumbuka chama kilekile kimechoka kisera na kimtazamo sasa sijui mradi huu utakuwa na tofauti gani na ule wa Mchikichini.!!
Bora umwambie. Huyu jamaa ananikera sana na uandishi wake. Anachafua server ya JF
Wewe Rejao umechangia ngapi mpaka umekuwa na ubavu wa kuwaambia wenzako hivyo.. au ndio wale wale ukitoa unataka kila mmoja ajue.
 
Jambo la msingi na la ujenzi ambalo Mh. Lema anatakiwa alisimamie ni zile ahadi zake za kujenga Machinga Compelex mbili pamoja na barabara za juu alizoahidi kwa wapiga kura wake!

Lema hajawahi kuhaidi barabara za juu labda aliku haidi wewe na familly yako kikwete ndiye alihaidi hayo acha kupotosha watu tunakaa arusha na kampeni zote za Lema tulikuwa tunauzuria hata ya Batilda nilikuwa nauzuria acha ushabiki wewe msukule wa nape
 
Mura MM,

Yaani nikimsifu taabu nikimkosoa taabu duh kazi kweli kweli.Mkuu Mura hapana labda umenielewa vibaya Lema akishinda kesi nitampongeza bila kinyongo akishindwa kwaajili ya uropokaji wake nitamlaumu yeye na chama chake kwa kuendekeza siasa za maji taka ila kwa sasa kesi imemlemea kweli kweli sijui wale madereva wa Toyo watamsaidia.

Ha ha haaa,,, Ngongo bana.

Umeona sasa sifa unazompa mheshimiwa mbunge wako!?

Hilo la kesi naona linawapa matumaini makubwa anti chadema wote, especially ccm, na hapo ndipo una reveal your position kwamba hauko huru. Ha ha haa!!
 
mgafilika vipi andasi imekukamata haya barabara za juu tunaziondoa vipi Machinga Complex ?,Wapi Hospital tatu ?.Hili suala la Kaloleni limeanzia Jiji chini ya Meya Lyimo na linamalizwa na Lyimo Mbunge hayupo kabisa sisi bado tunasubiri ahadi zake.

Lema hajawahi kuhaidi barabara za juu labda aliku haidi wewe na familly yako kikwete ndiye alihaidi hayo acha kupotosha watu tunakaa arusha na kampeni zote za Lema tulikuwa tunauzuria hata ya Batilda nilikuwa nauzuria acha ushabiki wewe msukule wa nape
 
Bora umwambie. Huyu jamaa ananikera sana na uandishi wake. Anachafua server ya JF

Utasutwa mtoto wakiume wewe hapo ulipo wewe mwenyewe wakuambiwa uache kimbelembele cha mtoto wakike anayeona ya wanaume yake hayaoni wewe mwenye unachanganya herufi kubwa kisa kuchangia jina la Lema ujioni ndiyo shule zenu zakata hizo mlizo jenga na ccm na nape
 
Lema hajawahi kuhaidi barabara za juu labda aliku haidi wewe na familly yako kikwete ndiye alihaidi hayo acha kupotosha watu tunakaa arusha na kampeni zote za Lema tulikuwa tunauzuria hata ya Batilda nilikuwa nauzuria acha ushabiki wewe msukule wa nape

Huwezi kupiga ili la ahadi za Lema ndio maana umeona wote wale wapambe wa Lema, kina Crashwise, Feedback, LAT, Kileo, na wengine wamekaa kimya kwenye ili, ni wewe tu mateka wa Lema uliojitoa muhanga kupinga hizo ahadi za Lema.
 
Kwahiyo wewe na akili zako unatarajia hao jamaa wa Dubai watatujengea jiji Arusha kweli unaota.. kumbuka Kikwete alisaini mkataba na wa-Malasia tangu May 2010 (Bofya hapa) mpaka leo hakuna chochote zaidi ya porojo, kumbuka chama kilekile kimechoka kisera na kimtazamo sasa sijui mradi huu utakuwa na tofauti gani na ule wa Mchikichini.!!
Wewe Rejao umechangia ngapi mpaka umekuwa na ubavu wa kuwaambia wenzako hivyo.. au ndio wale wale ukitoa unataka kila mmoja ajue.

Tunaongelea mradi wa Arusha mkuu, mambo ya Malasia anzisha thread tujadili
 
katiba mpya lilikuwa wazo la chadema,chuonkikuu udom wazo la chadema,kujenga vitega uchumi arusha na kuhamisha stend ya arusha ni wwazo la chadema.
kuondoa msongamano arusha wazo la chadema

naomba wewe kilaza ritz uniambie ni ahadi ngapi za kilaza mwenzako zimeshatekelezwa mwaka sasa?
 
Huwezi kupiga ili la ahadi za Lema ndio maana umeona wote wale wapambe wa Lema, kina Crashwise, Feedback, LAT, Kileo, na wengine wamekaa kimya kwenye ili, ni wewe tu mateka wa Lema uliojitoa muhanga kupinga hizo ahadi za Lema.

Naweza kupinga kwani mimi mwenywewe nilikuwa kwenye kampeni za Lema acha ujinga mbona umefanya ujinga ndiyo mtaji wako kweli sasa nakubali wewe wewe ni mjinga
 
Wewe endelea kutoa matusi lakini wana Arusha wanataka Machinga Complex mbili na barabara za juu.
 
Huwezi kupiga ili la ahadi za Lema ndio maana umeona wote wale wapambe wa Lema, kina Crashwise, Feedback, LAT, Kileo, na wengine wamekaa kimya kwenye ili, ni wewe tu mateka wa Lema uliojitoa muhanga kupinga hizo ahadi za Lema.
Tuambie ahadi ya kujenga barabra za juu aliitoa akiwa wapi au masaburi yanakusumbua..
 
mgafilika vipi andasi imekukamata haya barabara za juu tunaziondoa vipi Machinga Complex ?,Wapi Hospital tatu ?.Hili suala la Kaloleni limeanzia Jiji chini ya Meya Lyimo na linamalizwa na Lyimo Mbunge hayupo kabisa sisi bado tunasubiri ahadi zake.
Mnafiki Ngongo, Nini kina msukuma Lyimo kufanya hayo.............
 
mgafilika vipi andasi imekukamata haya barabara za juu tunaziondoa vipi Machinga Complex ?,Wapi Hospital tatu ?.Hili suala la Kaloleni limeanzia Jiji chini ya Meya Lyimo na linamalizwa na Lyimo Mbunge hayupo kabisa sisi bado tunasubiri ahadi zake.

Wewe mjinga ngoja niku elimishe kuhusu Lema aliho haidi alihaidi kujenga machinga complex na atajenga alihaidi hospitali moja kubwa ambayo itakuwa ya akina mama na watoto na mchakato wakujenga hospitali umeanza kwani ameshapata kiwanja kikubwa cha samani ya milioni mia 400 na mchakato wauzinduzi wa ujenzi wa hospitali hiyo utaanza mwaka 2012 mwanzoni kabisa hayo nimachache ya mbunge Lema kwa mwaka mmoja wa ubunge wake tunakuja kwa miaka 50 ya uhuru wetu kwanza kabisa kwa miaka 8 ya kikwete kafanya nini hakuna zaidi ya kucheka cheka kununu liwa suti na wanaume wenzake miaka 50 ya uhuru wetu sherehe zake zimetumia bilioni 600 huku hospitali zikiwa hazina vitanda huku shule zenu za kata hazina madawati acha ujinga msukule wa nape hivi boss wenu nape havui tena gamba
 
Mura MM,

Yaani nikimsifu taabu nikimkosoa taabu duh kazi kweli kweli.Mkuu Mura hapana labda umenielewa vibaya Lema akishinda kesi nitampongeza bila kinyongo akishindwa kwaajili ya uropokaji wake nitamlaumu yeye na chama chake kwa kuendekeza siasa za maji taka ila kwa sasa kesi imemlemea kweli kweli sijui wale madereva wa Toyo watamsaidia.
Kwani anataka kusifiwa!?....kwa ubunge Arusha sahauni CCM na TLP hata mkiunganda hamtafikia kura za Lema...
 
Hao wanasiasa wanatekeleza mipango yao wenyewe au ni hiyo iliyoandaliwa na mipango miji?

Tatizo lilipo Tanzania ni kwamba mipango miji wanaishia kuandaa michoro (plans) implemantation ya hiyo michoro kwa maana ya pesa za kutekeleza plans inatolewa na wanasiasa! Hvyo kazi ya mipango miji kwa hapa Tanzania inaishia kuandaa michoro peke yake hawana fungu la kutekeleza plans.
 
Back
Top Bottom