Ujenzi wa madaraja

Ujenzi wa madaraja

inno leonard

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
31
Reaction score
6
Msaada...nisababu zipi huzingatiwa katika ujenzi wa madaraja mida ya usiku(hasa madaraja yavukayo maji) mfano mito, ziwa na bahari.
 
Mkuu kujenga usiku sio tu madaraja hata Nyumba zinajengwa usiku....
kuna dhana ya zege halilali kwa maana kwamba zege linamwagwa mpaka liishe....regardless muda gani linaisha.

Lakini kitaalamu no kwamba zege huwa linamwagwa Kwenye chuma (nondo) kama unavojua chuma kikipata joto hutanuka sasa kikiexpand chuma haifai sana kumwagiwa zege kwasababu kikicontract baada ya kupoa hakitakuwa na muunganiko mzuri na zege....hili litasababisha failure ya structure kwa siku za usoni...

This is due to experience....Kama kuna mengine watachangia wahandisi wengine!
 
Layman thinking: Uchawi au wanatoa sadaka kwa mizimu

Kwa nnavyojua... Sababu mara nyingi ni hizi..

Sababu ya kwanza: Muda wa mchana joto linakua juu hali inayopelekea zege/concrete kushindwa kufikia ubora unaotakiwa, in short ubora wa zege unaathiriwa temperature.

Sasa ili kukwepa hali hiyo wakandarasi wanalazimika kumwaga zege jioni au usiku muda ambao joto liko chini.

Sababu ya pili: Ku meet deadline, kila mradi anaopewa mkandarasi anapewa muda mfano miezi mitatu, sasa chukulia wewe ni mkandarasi na ushatumia mwezi na nusu na kazi haijafika hata nusu, hapo lazima upige kazi mpaka usiku ili kuhakikisha kazi inaisha ndan ya muda ulio pangiwa...
 
mchana jua Kali chuma hutanuka...lakini usiku chuma kutakuwa Kwenye normal temperature na hivo kuwa katika normal dimensions....hivyo muunganiko mzuri wa zege
 
Mkuu kujenga usiku sio tu madaraja hata Nyumba zinajengwa usiku....
kuna dhana ya zege halilali kwa maana kwamba zege linamwagwa mpaka liishe....regardless muda gani linaisha.

Lakini kitaalamu no kwamba zege huwa linamwagwa Kwenye chuma (nondo) kama unavojua chuma kikipata joto hutanuka sasa kikiexpand chuma haifai sana kumwagiwa zege kwasababu kikicontract baada ya kupoa hakitakuwa na muunganiko mzuri na zege....hili litasababisha failure ya structure kwa siku za usoni...

This is due to experience....Kama kuna mengine watachangia wahandisi wengine!

Nashukuru kwa majibu mkuu
 
Layman thinking: Uchawi au wanatoa sadaka kwa mizimu

Kwa nnavyojua... Sababu mara nyingi ni hizi..

Sababu ya kwanza: Muda wa mchana joto linakua juu hali inayopelekea zege/concrete kushindwa kufikia ubora unaotakiwa, in short ubora wa zege unaathiriwa temperature.

Sasa ili kukwepa hali hiyo wakandarasi wanalazimika kumwaga zege jioni au usiku muda ambao joto liko chini.

Sababu ya pili: Ku meet deadline, kila mradi anaopewa mkandarasi anapewa muda mfano miezi mitatu, sasa chukulia wewe ni mkandarasi na ushatumia mwezi na nusu na kazi haijafika hata nusu, hapo lazima upige kazi mpaka usiku ili kuhakikisha kazi inaisha ndan ya muda ulio pangiwa...

Ahsante kwa majibu
 
Back
Top Bottom