Ujenzi wa mabwawa Mto Mara, Serengeti kugeuzwa jangwa

1academ

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
1,973
2,497
Sources pale Wizarani zinasema mabwawa kwenye mto mara ambao ni lifeline kwenye Serengeti ecostsytem ziko kwenye finalisation, na ndani ya the coming weeks mzee wa Kenyatta atazindua kazi rasmi.

Tumpe hongera kwa kusimama kidete kwa hili swalaa, maana kelele zipo nyingii ila nyingi ni toka kwamabeberu eti Serengeti itakufaaa😂lile eneo la mara tutaligeuza kuwa eneo kubwa kabisa la ukulima wa unyumyiziaji. Lazima jamii za wafugaji zifaidi, upande wa Serengeti waanze kujipanga na visima.

Screenshot_20200806-234054_2.jpg
The Serengeti will die if Kenya dams the Mara River
 
Ngoja tusubiri upande wa pili tuone wanashindilia Msumari gani sasa?
 
We mshamba kweli. Yani serengeti iwe jangwa!! Are you stupid or something.
Ukubwa wa serengeti ni sawa na Belgium.

We have source of water all corners of country.

Listen; this is the list of lakes near by Serengeti:-
1. Lake Matron
2. Lake Eyasi
3. Lake Manyara
4. Lake Victoria.

Kwa akili yako haya maziwa source ya maji ni wapi!?
 
Roho ya husda inamfanya kuona ati wanatukomoa!
 
Samahani mnaojua hii nito inayoilisha serengeti na hayo maziwa vyanzo vyake wapi?
Let us sabotage the project
 
Samahani mnaojua hii nito inayoilisha serengeti na hayo maziwa vyanzo vyake wapi?
Let us sabotage the project
Wasikutishe.
Katika mito yote mitano. Inayo ingia serengeti ni mto mmoja tu tuna share source. Tena sehemu kubwa ya mto huo ni Tanzania.

Also Tanzania imejiandaa ku extend National Park to Lake Victoria.
Serengeti_National_Park.svg.png
 
Kama vile tunavyo yasafisha sasa kwenda nyanda za kati. Hawa jamaa bado hawajatusoma vizuri. Ngoja kwanza iyo kq tuifungie mpaka tujisikie
Tanzania haina tatizo la vyanzo vya maji, ikiwezekana au ikihitajika tutachimba mifereji au kuweka mabomba toka Lake Victoria....
 
Sources pale Wizarani zinasema mabwawa kwenye mto mara ambao ni lifeline kwenye Serengeti ecostsytem ziko kwenye finalisation, na ndani ya the coming weeks mzee wa Kenyatta atazindua kazi rasmi.

Tumpe hongera kwa kusimama kidete kwa hili swalaa, maana kelele zipo nyingii ila nyingi ni toka kwamabeberu eti Serengeti itakufaaa😂lile eneo la mara tutaligeuza kuwa eneo kubwa kabisa la ukulima wa unyumyiziaji. Lazima jamii za wafugaji zifaidi, upande wa Serengeti waanze kujipanga na visima.

The Serengeti will die if Kenya dams the Mara River
huna akili ecosystem INA mito 14
 
We mshamba kweli. Yani serengeti iwe jangwa!! Are you stupid or something.
Ukubwa wa serengeti ni sawa na Belgium.

We have source of water all corners of country.

Listen; this is the list of lakes near by Serengeti:-
1. Lake Matron
2. Lake Eyasi
3. Lake Manyara
4. Lake Victoria.

Kwa akili yako haya maziwa source ya maji ni wapi!?
Maji ya manyara Enyasi na natron ya afikaje na yale milima
 
Umeme umewashinda hata pale Bomba mbili Dar, maji ndio mtaweza...wacha utani bro
Nawewe nae unafurahisha saa zingine, hujui kwamba tumeweza kujenga mabomba kutoa maji Lake Victoria mpaka Tabora na sasa tuna extend hadi Dodoma. Setengeti iko hapohapo karibu na Lake Victoria, it shares the same ecosystem.

Ngoja nikufundishe kawimbo kazuri:

.. Tazama ramani utaona nchi nzuriiii. nchi yenye mito mingi na mabonde ya nafakaaa...

Haya endelea halafu rudia chorus mara mbili:)
 
Back
Top Bottom