Mmmmmhhhh, vipi mbona unajishtukia hivi, au wewe ndo RC? Kwenye thread sijaona RC, labda kama imehaririwa.Acha siasa mleta mada,RC amefanya jitihada gani za kuzuia huo mradi?
Imehaririwa mkuu,jamaa badala ya kusimama kwenye hoja kaanza kumshughulikia RC Gambo kuwa aliukwamishaMmmmmhhhh, vipi mbona unajishtukia hivi, au wewe ndo RC? Kwenye thread sijaona RC, labda kama imehaririwa.
Mpaka hizi ghorofa moja wanajenga Wachina why?
Samahani kama nilikukwaza.Imehaririwa mkuu,jamaa badala ya kusimama kwenye hoja kaanza kumshughulikia RC Gambo kuwa aliukwamisha