Ujenzi wa hospitali ya mama na mtoto Arusha iliyoasisiwa na mbunge wa Arusha mjini Lema umeshaanza

Itakua ndio mbunge wa kwanza tz kufanikisha jambo kubwa kama hili.
Watu wa Arusha wanamuelewa sana mbunge wao,ndio maana hawamuachi.
 
FB_IMG_1483463127482.jpg
 
Hapo utasikia Jamhuri wanakazia kutota dhamana. Ajabu ni kuwa kesi uchunguzi bado na pia dhamana hawataki kutoa
 
Pia ni vyema wa



Pia ni vyema wafu wakapongezana maana hakuna pa kutokea wala kupumulia,
Usiwe na wivu ndugu!..muombe mbunge wako nae awafanyie hivo,sio unakashifu maendeleo!...muache kudanganywa na pilau na kanga
 
Development is the movement from one stage to another higher stage!...
 
Back
Top Bottom