Ujenzi wa hospitali ya mama na mtoto Arusha iliyoasisiwa na mbunge wa Arusha mjini Lema umeshaanza

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
Ujenzi wa Hospitali ya Mama na Mtoto Arusha iliyoasisiwa na Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema kupitia taasisi yake ya ArDF (Arusha Development Fund) umeshaanza na sasa unaendelea eneo la Matevesi, Arusha District chini ya ukandarasi wa kampuni ya kichina kwa udhamini wa taasisi ya Maternity Africa na Mawalla Advocates.

Pamoja na kuwa magereza, kazi aliyoiasisi Mbunge huyu kama sehemu ya ahadi zake kwa wapiga kura inaendelea kutekelezeka..! Baada ya mwaka mmoja wamama Na watoto wa Arusha, na maeneo jirani watapatiwa huduma na kupunguza angalao tatizo kwa kiwango fulani.
IMG-20170103-WA0033.jpg
IMG-20170103-WA0032.jpg
IMG-20170103-WA0034.jpg
 
Acha siasa mleta mada,RC amefanya jitihada gani za kuzuia huo mradi?
 
Back
Top Bottom