Ujenzi wa Fly-Over - TAZARA


Tulia wewe!! usiwe na haraka km mwanamke mwenye....genye.. washamba kama ninyi mtakuwa mnakuja dar kushangaa hizi flyover na jinsi hili jiji linavoenda kupangwa vzr. so plz just be patient
 

Swali langu ni kwamba Je, huo ujenzi unaanza NOVEMBA kama alivyosema JK na Magufuri? au ni siasa?
 
Mleta mada hivi hatua za ujenzi ni zipi?
 
Mbona mambo hayo yamekwisha rekebishwa siku nyingi tu,pitia TAZARA makao makuu uone.
 
Swali langu ni kwamba Je, huo ujenzi unaanza NOVEMBA kama alivyosema JK na Magufuri? au ni siasa?
Mkuu tunashindwa kukuelewa,kwani tatizo lako ni lipi hasa? Ma injinia hawahulizi maswali ambayo ni obvious:Wamesema detailed technical drawings/design zipo including artistic impression/bird's eyeview ya flyover au swali lako ni la kisiasa zaidi!!
 
Azam alishasogeza ukuta wake ndani na Tazara pia uliza kwanza
 
Mleta mada hivi hatua za ujenzi ni zipi?

Swali langu ni kwamba kama tulivyo ambiwa kwamba Ujenzi unaanza Tarehe moja Novemba je ni kuna ukweli wowote? hilo ndiyo Swali la msingi.
 
Yani mnataka flyover wakati hata maji ya kuswakia hamna!?
 
Mradi huo ni kupoteza pesa tu za watanzania, Bora wangetafuta mji mwingine uliopangika vizuri ndo waweke mradi huo.

Akili zingine bhana sasa wew wataka wakajenge shinyanga ambako hakuna foleni?
 
Heri umemuuliza mkuu
Badala ya yeye kuuliza michoro ikoje anaingiza malumbano katika masuala ya kitaalam.

Mtoa mada asiwe na mchecheto aende tu TANROADS kujipatia elimu ya michoro

Vipi Iringa wazima? Naona angalau umekumbukwapo karoho sasa kametuliapo!
 

Hi Bintiwangara;
Huyu Muishiwa sana Rais Kiwete anayemaliza muda wake masaa machache yajayo amewahi kusema, ''UKIAMBIWA JAMBO CHANGANYA NA ZA KWAKO''
Ninachotaka kusema ni kwamba hiyo sijui TAZARA FLY-OVER ni mbwembwe za uombea kura tu! Hakuna cha Flyover wala mamake fly over!!!

Hivi Watanzania tutaamka lini toka kwenye hili lepe la usingizi wa CCM? Kama tu hiyo BRT imechukua miaka kadhaa haijakamilika na tayari baadhi ya miundombinu imeshaanza kubomoka unategemea nini toka kwa Bwana John Alcoholic Mapadlocks?

Napenda nikuhakikishie kuwa hakutakuwa na maandalizi,hakutakluwa na fedha, wala hakutakuwa na Mkandarasi wa kazi hiyo kwa vile kazi hiyo haiko kwenye Bajeti ya 2015/6!! Huwezi ku-plan ujezni wa fly over bila kutenga fedha kwenye Bajeti ya mwaka iliyosomwa July 2015/6 halafu ujenge kitu cha Billioni 100 mwezi wa Novemba, Haiwezekani??

Nilimsikia Mapadlocks akibwabwaja kwenye kampeni zake na Watz kama mazuzu wanashangilia Fly-over ya TAZARA sijui mpaka wapi......!!Nikashangaa sana.

Biblia inasema, "......watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa...." Hapo ndipo watanzania waengi walipo na daima wataendelea kutawaliwa na ri-CCM mpaka kiyama!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…