Revolution
JF-Expert Member
- Feb 28, 2008
- 789
- 546
Wadau, naelewa adha na hasira inayowapata lakini kuna facts nyingine tuzifahamu:
1. Strabag sio kampuni ya kujenga barabara kiwango duni. It is a 10+ billion euros company (revenue alone), employing over 76,000 staffs worldwide.
2. Strabag imeshafanya projects nyingi na kubwa ulimwenguni (e.g.Germany,UAE,Malaysia,Denmark,Libya,Cameroun,Rwanda, etc) ambazo ni kubwa kuliko hiyo project ya Dar.
3. Strabag wanatumia latest construction technologies -na kwa hili nyie ni mashahidi ya vifaa wanavyotumia kujenga hiyo Kimara-Jangwani stretch.
Ingawa sitetei kucheleweshwa ujenzi kutokana na adha watumizi tunazopata lakini kutoka na history na weledi wa kampuni kuna sababu nyingine zinazoleteleza na I can bet you zinaweza kuwa ni sisi (waTz) tunasababisha. Mfano unaweza ukakuta kuna baadhi ya vitu vimekwama bandari kwetu kutokana tu na urasimu usio na msingi.
There could numerous reasons as to why the project is stalled but the point I am trying to make is that STRABAG is a very serious company that can deliver.
Nimeweka links hapa chini na brochure that I sourced from their website.
STRABAG SE - BUILDING VISIONS. BUILDING VALUES. BUILDING EUROPE.[/QUO
Hawa jamaa walikataa kubid kazi za nchini nigeria kwasababu ya solicitation of kitu kidogo (corruption) kutoka kwa maafisa wa nigeria hawaendekezi cha juu kama wachina hao...na barabara ikiisha hiyo mtaacha kuwaponda na kuanza kuwasfia.