Mkirua
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 5,647
- 2,498
Wakazi wa ubungo tumeshasema huyu dogo bungeni atumrudishi kwa kura zetu tena, labda wapange njia zingine.
huwezi kwenda bungeni kutumia lugha za kuudhui na lugha chafu kwa watawala katika kujenga hoja, halafu anaambiwa futa kauli yako uendelee kuchangia ANAGOMA?
wakazi wengi wa Ubungo tumepoteza imani na matumaini na kijana huyu na tunamwambia bungeni tena basi.
Kaa kimya wewe jana nilikuwa pande za pale shunga shunga TANROADS walipoweka kibao cha matengenezo ya hii bara bara na watu wote waliokuwa around the place walikuwa wakimsifia Mnyika kwa kuipigania hiyo bara bara kwahiyo mimi na wao tutampa Mnyika kura zetu. Pia tunamshukuru kwa kutufungua macho kuwa jamaa nidhaifu na kila kukicha tunazidi kuuona udhaifu wa dhaifu.