Ujenzi unaoendelea Paradise Cinema Dom

TUTUO

JF-Expert Member
Dec 3, 2013
3,253
2,023
Enyi Manispaa ya jiji la Dodoma najua mmebariki huu ujenzi wa ilipokuwa Paradise cinema, sihitaji kujua panajengwa nini ila kilichonishangaza ni kufungwa kwa njia na kujengwa nguzo nne mbili kila upande tena zipo barabarani je ndio utaratibu wa ujenzi na hyo diversion itadumu mpaka hilo jengo litapoisha ?aliyeona kama mimi na anafahamu kinachoendelea atuambie #maendeleo hayana chama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom