Ujenzi ukisiliza watu ujengi

niigilizie tu mkuu,hongera sana
Sio rahisi hata ukiingia ndani coz vpimo vitakuzingua afu kwa nini usitafute ramani badala ya kubahatisha? Utaigiliziaje dimensions za canopy,colums,.Kwa nini ushindwe kununua ramani kwa Laki moja wakati unajenga nyumba ya mamilioni? Mie huwa siwaelewi hebu tubadilike basi wakuu
 
ngoja nipambane na kibanda changu
 
Hongera mkuu kwa kuwa kwako ss bado tunapishana kwenye choo moja familia tisa
 
NIMEKUELEWA UWANJA WANGU NI MKUMBWA SQ 1595 UKUTA UMEKULA SANA NA NYUMBA VYUMBA 4 NA SITTING ROOM NA SELF ZOTE SIO MBAYA
Xjakusoma vyema mkuu ndo umejenga hivyo au unataka uwe hivyo? Ila congrat una Uwanja makubwa sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…