Aisee...umetumia matofali mangapi? Mabati mangapi? Mbao za sh ngapi? Madirisha mangapi na aina gani? Milango mingapi ya aina gani? Achilia mbali vifaa vya umeme na mabomba.Hiyo 30milion huku kwetu unajenga ghorofa la maana binafsi nimejenga nyumba ya vyumba viwili sebule na jiko choo ndani kwa milion 4 tu ....
Swali zuriAisee...umetumia matofali mangapi? Mabati mangapi? Mbao za sh ngapi? Madirisha mangapi na aina gani? Milango mingapi ya aina gani? Achilia mbali vifaa vya umeme na mabomba.
swax mkuu? mtaa gani nikaigilizie hiyo nyumba nami naangaika na kakibanda kanguInategemeana na mambo mengi hata hiyo 30m bado ni nyingi au ndogo kwa mwingine,mfano hiyo nyumba kwenye aviator yangu ni 4 bedroom house imecost around 24m pande za swax
Aisee huko kijijini kuzuri sana nyumba ya vyumba viwili unajenga kwa 4m! Nimemalizia fence gharama zake ni hiziSwali zuri
Tofali 4000 za kuchoma tofali moja ni 100 mpaka 200
Milango 5 mmoja ni 30000 mpaka 50000 huku polin mbao bei rahis sana na ndio zinapo toka
Kupaua mbao 2×2 ni 30
4×2 ni 20
Mbao moja ni 2500 ya 2 na ya 4 ni 4500
Madirisha 5 moja ni 50000 na katoto kamoja kaa choo ni ofa ya fundi tena ya viooo
Ukipiga hesabu sizani kama imefika milion 2
Sasa iliyo baki imeenda kwenye mbwembwe.....umeme,plasta,rangi nk...
Kijijin raha bhana ningeng'ang'ania kubaki dar nazani ujenzi ningekuwa nauskia kwenye radio tu kama sio JF
Kijijin kuna uzur wake mkuu yani huku kujenga kwa tope na nyumba inakaza balaaAisee huko kijijini kuzuri sana nyumba ya vyumba viwili unajenga kwa 4m! Nimemalizia fence gharama zake ni hizi
Matofali 1950=1,950,000
Louvers 11=440,000
Gate=1,000,000
Bado cement,mchanga,labor charge. Kifupi zaidi ya 4m.
Bado plaster,bado rangi,bado mkanda wa juu!
Ila wewe umevunja recordsUkiskiliza watu sana kwenye ujenzi hujengi, binafsi niliambiwa hivyo hivyo, kiwanja kilikuwa m25 = ft 80 lakini upana wa ft50 na urefu wa ft40 nimejenga nyumba ya vyumba vi4 ambapo vitatu ni master, jiko, dinning na sebule ya kiasi cha ft 20 kwa 16
Labda ulikuwa unaunga unga sana ....mm wakati najengahongera kwa kujenga ! nadhan mikoani kujenga ni cheap zaid ! ila sin hamu na ujenzi !had unaingia kwako umeona rangi zooote !kitu kidg tu aghali mnoo !ah had inaumiza sana yaan
Unataka ramani take au uigilizie tu,majumba sitaswax mkuu? mtaa gani nikaigilizie hiyo nyumba nami naangaika na kakibanda kangu
We jamaa kichaaa sana nimecheka mnooSioni ajabu,kuna suti zinafika bei hadi laki 6 hadi milioni 2 zipo zinauzwa,lakini waweza shonesha kwa fundi suti ya sh elf 80 tu na ukivaa hata harusini. ukifuatilia kwa makini hapo kuna suti bora,na bora suti. hata kwenye ujenzi ni hivyo hivyo. walikupigia gharama za mbao za treated wewe umetumia mbao za kawaida baada ya 4 years yinatoa unga,walikupigia gharama za mabati ya migongo mipana umetumia kuezeka ya kawaida 4 years tena kutu kibao na kadhalika.
We jamaa kichaaa sana nimecheka mnoo
Ni kweliPerception affects our decisions all in all bora nyumba ivuje in next 4 years ukiwa Ndani kulikokumpa landlord millions of cash each year