Safi sana. Hongera kwa kusimamia Mawazo yako.Nilkuwa nataka kujenga kiwanja ninacho
Nilliuza jf watu wakanisema sana 50m uwezi kujenga hiyo ni banda, lakini si kweli nimejenga na nyumba imekwisha vyumba 4 na master 2 kwa 30m
Ukitaka kujenga wacha kusikiliza watu awana cha kufanya zaidi ya kuvunja watu nguvu tafuteni kitu cha kufanya
Shemeji acha hizo...Huyo anaesema 50m unajenga banda utakuta anakaa kwa shemeji yake.