Ujenzi: Msaada kuhusu kufunga 'gypsum ceiling'

TOM KENYARES

Member
Jun 3, 2020
12
45
Habari ndugu wana JF,

Ndugu zangu, nina swali na swali hili linahusu ujenzi. Nilikuwa nauliza gharama za fundi wa kufunga GYPSUM BODY CELLING ni gharama gani ikiwa pomoja na kufunga mikanda na skimming.

Naomba msaada wa kujuzwa.
 
pmwasyoke

JF-Expert Member
May 27, 2010
3,941
2,000
Njia ya kukupa jibu sahihi zaidi ni kupeleka fundi ilipo nyumba, au kumwonyesha ramani, ili akupe gharama ya ufundi kwa kazi hiyo. Waweza kupata quotation hata za mafundi zaidi ya mmoja.

Gharama za gypsum board zenyewe waweza kukisia mwenyewe kwa kuuliza bei madukani, na kutokana na ukubwa wa nyumba utakokotoa idadi ya boards zitakiwazo.
 
Kuna fundi mmoja kaniambia kufunga body moja ni Tsh 10,000/ ambapo chumba kimoja inatumia body sio chini ya nne ukiachana na mambo ya kufunga mikanda ambayo amesema kwa chumba atafanya 10,000/ hapo pia bado skimming sasa nilikuwa nahitaji kufahamishwa na mafundi wenyewe ambao wapo humu pengine nikapata fundi wa kunifanyia hiyo kazi kwa bei ya angalau ndugu zangu
 
tamsana

JF-Expert Member
Jan 13, 2012
812
1,000
Gharama za fundi kufunga gypsum ni pamoja na mikanda. Hawezi kuzifunga board bila mikanda. Nakushauri uonane na fundi ili alupe bei yake maana hakuna bei elelezi bali ni maelewano.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom