Ujenzi huu utanigharimu Tshs ngapi?

Kama Utakuwa Muangalifu Sana na Una Maanisha Kujengabjwa kupunguza gharama Nyumba inaweza kuifikisha hadi hapo Kwa Mil. 5.
Ushauri wangu.
Usitie Kandarasi ya Ujenzi Kwa Kampuni kama wanavyofanya wengine, Chukua Mafundi wa Kulipa Kwa Siku, wapo wengi siku hizi. Wasipungue watu na wasaidizi watatu.
Material fanya purchases Mwenyewe hata Mke wako usimuagize.View attachment 1913108

Sawa sawa!! Nimependa hapo mwisho
 
Choo: Kuchimba, kujengea, kufunika, kujengea chumba, mlango, nondo, cement, bati, mbao, ufundi, mchanga, misumari itagharimu 2m. Rooms mbili: tofali 1500, mchanga 300k, cementi mifuko 30,kokoto lori moja, mbao 400k, bati 30, player, skimming , rangi, choo, umeme, maji, milango 3, dirisha5, grill 5, vitasa 3, Blandering, gypsum board 8, ufundi. 10m imekatika.

Kuna vyoo vipya siku hizi vya CULVERTs au pipa la maji unatoboa pande zote ni bei rahisi na vinakaa hadi miaka 10 bila kunyonya
Mimi nimejuta kutojua hii system

Kitu kingine lintel usipige mzunguko wa nyumba nzima
Piga tu katika milango na madirisha utaokoa gharama kubwa sana

Endelea na ujenzi
 
Kuna vyoo vipya siku hizi vya CULVERTs au pipa la maji unatoboa pande zote ni bei rahisi na vinakaa hadi miaka 10 bila kunyonya
Mimi nimejuta kutojua hii system

Kitu kingine Renta usipige mzunguko wa nyumba nzima
Piga tu katika milango na madirisha utaokoa gharama kubwa sana

Endelea na ujenzi
Hio ni nyumba unajenga sio choo,eti lenter ni kwenye madirisha tuu?!
 
Unajua hata maana ya LINTEL?? Unajua hata kwanini tunaweka LINTEL ??
Unajua hata Building code tunatumia ??

Wabongo mnaujuaji na kukaririshwa vitu hamjui hata kwanini vinafanywa
Peleka usefenge wako huko,kwahiyo lenta kwenye nyumba haina maana?,hio elimu yenyewe unayojivunia ni ya kukaririshwa
 
Kuna vyoo vipya siku hizi vya CULVERTs au pipa la maji unatoboa pande zote ni bei rahisi na vinakaa hadi miaka 10 bila kunyonya
Mimi nimejuta kutojua hii system

Kitu kingine lintel usipige mzunguko wa nyumba nzima
Piga tu katika milango na madirisha utaokoa gharama kubwa sana

Endelea na ujenzi
Hapo kwenye linter usiongopee watu inategemea na aina ya erdhi
 
Watu wengi watakutisha humu.

Mimi nina kauzoefu kidogo kakujenga hivi vijumba vidogo vidogo kwa kijumba hicho mtafute kwanza fundi mweleweshe aina ya material unayotaka kutumia gharama itaongezeka kulingana na sehemu ulipo. Ila kwa hicho kijumba hakitavuka millioni 5 kutegemea na material utakayotumia.
Hapa ndipo confusion inapo anzia! Juzi nimeongea na kampuni moja ya REAL ESTATE (baada ya kusikia tangazo lao redioni) wanauza nyumba ya vyumba viwili, jiko, choo na sebule ikiwa huko Mwasonga kwa Shilingi 5.5 Milioni! Hii imekaaje wataalamu wangu wa JF!?
 
Back
Top Bottom