Candela JF-Expert Member Joined Aug 12, 2021 Posts 901 Reaction score 2,448 Jun 18, 2023 #1 Wadau tujuazane kuhusu ujenzi unaindelea pale buguruni, hizi nchi zetu za hovyo sana kazi inaendelea na hamna taarifa yoyote kwa wananchi. Kila siku napita pale nione hata bango linaloelezea nini kinaendelea lakini wapi.
Wadau tujuazane kuhusu ujenzi unaindelea pale buguruni, hizi nchi zetu za hovyo sana kazi inaendelea na hamna taarifa yoyote kwa wananchi. Kila siku napita pale nione hata bango linaloelezea nini kinaendelea lakini wapi.
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 22,654 Reaction score 27,290 Jun 18, 2023 #2 Sinohydro!
Katkit JF-Expert Member Joined Mar 12, 2023 Posts 1,907 Reaction score 4,721 Jun 18, 2023 #3 Wakikwambia utawachangia mifuko ya cement?
Mibas JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 4,213 Reaction score 6,389 Jun 18, 2023 #4 Mwendokasi hio ndugu. Kipande cha Mandela na Uhuru Rd.
Candela JF-Expert Member Joined Aug 12, 2021 Posts 901 Reaction score 2,448 Jun 18, 2023 Thread starter #6 Katkit said: Wakikwambia utawachangia mifuko ya cement? Click to expand... Negative minds