LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 2,958
- 5,564
Ila kwa mazingira yetu, na hawa vibaka, kwa ulaya yanafaa sana na yanatumika huku ni lazima uwe na uzio wa uhakika la sivyo vibaka wanaweza beba zima zima. Kwa mtu mwenye uzio mzuri yanafaa sana.
Wanajamii wenzangu, ujasilimiamali umenipeleka kwenye idea ya kufuga kuku wa mayai. Nia yangu ni kuifanya hii kazi kitaalamu zaidi. Kwakuanzia natafuta mabanda ya kisasa ya kufugia kuku wa mayai yatakayokuwa fit for the purpose and cost-effective. Yeyote mwenye kufahamu juu ya Hilo naomba anifahamishe. Asanteni.
yapo mabanda unatengenezewa.tafadhari wasiliana na hawa jamaa wamenisaidia. 0715805600Karibu ila hujaeleweka unatafuta ili ukodi, ununue au? Kuanzia kuna mtu alitangaza kukodisha Mbagala na mwingine Tegeta sijui kama bado yapo wazi. Mtandao wa Zoom kuna mtu anauza Farm ina mabanda na vifaa vingine ila uwe na mtaji mkubwa 100ml kuendelea ni Bagamoyo.
Karibu ila hujaeleweka unatafuta ili ukodi, ununue au? Kuanzia kuna mtu alitangaza kukodisha Mbagala na mwingine Tegeta sijui kama bado yapo wazi. Mtandao wa Zoom kuna mtu anauza Farm ina mabanda na vifaa vingine ila uwe na mtaji mkubwa 100ml kuendelea ni Bagamoyo.
Ok kama unasehemu tayari jaribu Balton Mwenge cocacola
habari wapiganaji wa kitanzania kwenye upande wa uchumi. sasa kuna post ya kwanza nilitoa mabanda machache tunayotengeneza. hivyo basi leo napenda kuwaonyesha sample nyingine ya mabanda tunayotengeneza. kwa maelezo zaidi karibu workshop ipo kituo cha mabibo hostel(mandela road), au waweza wasiliana nasi kuptia number ya simu +255 715805600 au barua pepe karibuni sana naomba kuwakilisha
View attachment 96714View attachment 96715View attachment 96716 View attachment 96717 View attachment 96718View attachment 96719View attachment 96720View attachment 96721View attachment 96722
Hayo mabanda kwa ajili ya kufungia au kuuzia kuku?