LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,322
- 6,700
wakuu nasikia hiki ni kitabu kizuri sana cha huyu nguli yerico nyerere,kwa aliyekisoma msaada wa wapi na mimi nitakipata,nataka nikisome,kina mambo mazuri sana ya kuyafahamu nikiwa kama mtanzania,nimekopi hayo maelezo kutoka chanzo cha kuaminika,msaada kwa aliyebahatika kukutana na hiki kitabu..