Ujasusi Sebuleni Kwetu

Mkuu heshima kwako! Hatubishani mimi pia ni mpenzi sana wa story zako kwa kweli ni nzuri sana. Kwa burudani unatisha. Kuna huyu jamaa EDWARD SNOWDEN najua utakuwa unamwelewa sana, swali je, unamwamini?
Naam naamini baadhi ya vitu ambavyo anavisema but kuna vitu vingine anavyovisema tunapaswa kuvichunguza na kufikiri mara mbili.

Kumbuka Snowden ni jasusi mbobezi sio nabii... ni nabii pekee tunapswa kuamini kila neno lao lakini jasusi mbobezi kama Snowden hawezi kuweka karata zake zote mezani kwa mara moja na lazima kuna mambo atamislead.

Unapaswa kuwa makini sana unapochambua mahindi na mashudu kutoka kwa jasusi bobezi kama Snowden.

Nipe hoja zako mkuu... kwanini unaamini Al-qaida ni kazi ya CIA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha... funy but not funy... so sad

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…