Ujasusi ndani ya Boeing

Mkuu nitaliongea hilo Kwa kina Part 2,hujuma hufanywa popote ambako mlengwa ana maslahi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee, sijui data umezitoa wap ila ukisearch vizuri utaona kuwa Boeing na Airbus hazipishani sana mapato yake ambapo Boeing inaingiza $14 Billion na Airbus inaingiza $10 Billion sasa hizo data zako haziko sawa, cha pili Boeing na Airbus hawatengenezi Engine za ndege, kuna makampuni yanayotengeneza engine na kuwauzia mfano Rolls Royce na GE Aviation, nadhani hukuelewa kwenye muundo wa Boeing 737 Max engine wameziweka mbele kdg kulingana na design yake hivyo hiyo hali ya kuweka engine mbele inasababia center of gravity ya ndege kuhama (kusogea nyuma) hivyo kusababisha ndege kupitch upward kitu kinachoweza kusababisha angle of attack ya ndege kuwa kubwa sana na kuweza kuleta/kusababisha ndege ku stall na kuanguka hivyo ili kutatua hilo wakatengeneza system ambayo itakuwa inadeal na pitch ya ndege automatically ila shida ambayo inaleta ukakasi ni Boeing kutowaambia marubani wala kuandika popote kuhusu system hiyo ambayo ndo imeleta shida, kwa taarifa za awali marubani wote hawakuwa na ufahamu juu ya uwepo wa system hiyo na kama wangekuwa wanafahamu inamaana wangeweza kutatua tatizo hilo kwa kuondoa autopilot na kuendelea nayo manually, na tunajua Boeing ni ndege ambazo ni madhubuti sana na zimetengenezwa kwa mfumo ambao rubani anafanya anachotaka bila kuwa intervened na system (rubani ndo master wa ndege) tofauti na Airbus ambapo ndege inamonitor kila kitu (mfano mdogo left-right bang angle iko monitored) na system zake nyingi ni automatic ! Airbus iko very luxury while Boeing imekaa kiume zaidi, hilo la ujasusi siwezi kuliongelea maana huenda kuna hongo sehemu ili kuwe na bureacracy yenye matokeo mabaya kwa Boeing (angalia miaka ile IBM ikitafuta OS ya computer zake mpka kumpata Bill gates walikuwa wanajaribu kuepuka bureaucracy) ndo maana utaona products za Apple zimekuwa mbovu kulinganisha na devices zingine ila wanauzia Jina tu, huko nako kuna harufu hiyo, huko kwenye ujasusi hiyo ni consipiracy ingine ambayo ukiichunguza utaona kuna nguvu kubwa ya kutaka kuishusha marekani, tukianza na lile grupu linaitwa la globalism (humo yumo hillary clinton na kina George soros na wengineo), Russia kutoa fedha zake marekani, Rothschild kuacha kutumia dola na kutafuta mbadala mwingine wa fedha hizo zote zinasukumia huko kwenye ujasusi na kuzishusha kampuni za magharibi! Anyway kwa kumalizia nazipenda Boeing!
 

Mkuu unaweza kufafanua kidogo products za Apple ni mbovu kivipi?
....
 
Ulichotuandikia hapa kina ukweli mchache sana, nadhani mshindani wa Boeing ni Airbus sio Antonov ambao sidhani Kama toka Soviet ivunjike wametengeneza ndege hata moja ya abiria. Urusi ndo wanaanza kurudi kwenye sphere ya uundaji ndege za abiria kwa ndege zao za Sukhoi SSJ-100 na MC-21 inayoundwa na UAC ambayo ni muungano wa Ilyushin na Tupolev. Kwa utashi na msimamo wakisiasa nadhani makampuni haya ya Urusi ndo yanaweza kufanya ujasusi wakui subbotage Boeing na sio Airbus inayoundwa na mataifa rafiki na washirika wa Marekani. Na mwisho wa siku kinachoisumbua 737 Max 8 sio engine, so tunahitaji part 1 iliyorekebishwa sio part 2 siisubiri kabisa
 
Hii ndo tofauti Kati ya tajiri na maskin
Yaap, wenzetu huwa wanaangalia maslai mapana ya nchi hasa ya kiuchumi kwa kulinda viwanda na wawekezaji wao ndani na nje ya nchi yao hivyo kama kuna issue kama hizo lazima wawe makini sana kama ni normal accident au kuna hujuma ndani yake kuepuka fedhea kwenye nchi kubwa kama Marekani. Ingawa lolote linaweza kutokea.
Tusubiri part 2.
 

Waafrica tunajidharau sana, na ndio our downfall, unacompare aje nchi yenye 200 more yrs old, compared na nchi zetu ambazo bado zinasumbuliwa na ukabila.
 
umeharibu mwishoni
Sent using Jamii Forums mobile app
 
hili halina ukweli hata kidogo bila shaka haujui hatua ndege mpya zinazapitia hadi kukubaliwa kuruka...
siwezi kuamini hizo hatua zote kuna mapandikizi ya kigeni ya kuhujumu kampuni tena ndani ya marekani...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sahihi sana. Hata mimi ninaelewa engine za hizo ndege ni za kutoka kampuni ya Rolls Royce.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kuna mahali hujaelewa vizuri topic yangu ,nimeongelea gross profit ya Boeing na Airbus na siyo net profit, Kama unajua mambo ya uhasibu utakuwa unajua maana ya Gross profit na net profit.
Kuhusu mengine uliyoongea nitayafafanua part 2

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usiwe biased Sana Ktk kuamini jambo, usiidharau Airbus na kuiona ni dhaifu eti hadi Russia ndo anaweza ku sabotage,siyo hivyo ndugu, hata taifa dogo usiloweza kulidhania Linaweza kufanya ujasusi dhidi ya taifa kubwa na likafanikiwa.
Rwanda imefanikiwa sana kuihujumu Tanzania yetu Najua wengi mtapinga lakini ndo ukweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utamfanya jamaa aedit habari yake au aje na story nyingine
 
Kachungunze kwa nini Boeing737 max ilikuja baada ya Airbus kutangaza kutengeneza A320neo.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…