sir. Mwasongwe
Senior Member
- May 30, 2015
- 105
- 73
Nafanya market survey, hasa upatikanaji wa maziwa na mahitaji ya product za maziwa.
Try farm base pale ilalaMkuu Mimi ninaujuzi kidogo na hizi product ila shida yangu nataka churning machine je! Kwa dar zinapatikana wapi?
Mada nzuri sana hii umenikumbusha mambo ya Prof. Kimambo na Mzee Wazael! Wewe umethoma THUA (SUA)?
mkuu food scientist naomba kidogo elimu juu ya vigezo vya kukidhi ili kupata ridhaa ya TFDA na TRA kwenye biashara hii
mkuu food scientist naomba kidogo elimu juu ya vigezo vya kukidhi ili kupata ridhaa ya TFDA na TRA kwenye biashara hii
Tfda wameenda wapi?Wahusika ni TBS hakuna kitu kinachoitwa TFDA tanzania kwa sasa na manlaka ya bidhaa za vyakula yapo TBS Kwa ujumla
Tfda wameenda wapi?
Oohh asante sana!Kwa sasa ni TMDA (Tanzania medical and drug authority)
Baada ya kupata hii elimu ulifanikiwa kuanza?Mkuu naona hujazungumzia zile mamlaka za serikali zatakazo kuwa zinasimamia ubora wa bidhaa zako, mfano TFDA, TBS n.k
Nadhani kwenye gharama za kuanzia ilitakiwa na hiyo iwemo, plus kodi za majengo ili tupate gharama halisi ya kuinzia.
Lakini umetoa mwanga mzuri sana kwa wenye nia na hii kitu.
Binafsi nimeipenda sana. Tuwasiliane tuone tunafanhaje, mi mtaji ninao
wewe binafisi ushaanza mkuu? ili niweze kupata kibarua hapo kwako?
Nazalisha,wewe binafisi ushaanza mkuu? ili niweze kupata kibarua hapo kwako?
Hongera sana mkuu,Nazalisha,
Karibu sana.View attachment 1319636View attachment 1319637
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana chief kwa hatua hiyo. Umefikia hapo kwa kujifunza humu humu au kuna mahali uli attend kupata ujuzi zaidi na zaidiNazalisha,
Karibu sana.View attachment 1319636View attachment 1319637
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu sanaHongera sana mkuu,
naomba kama hautojari nikutembelee.