Ujasiriamali 2: Usindikaji wa Mtindi (Sour Milk)

Hiyo iko hivi yogurt ni smooth kama uji haina mabonge bonge pia inaweza kuongezwa flavour tofauti tofauti mtindi huo unajulikana una mabonge bonge n.k
na mimi ntasubiri kujua tofauti kati ya cultured milk (maziwa mtindi) na Yoghurt
 
  • Thanks
Reactions: _ID
#foodscientist naomba unisaidie vyuo vinavyotoa diploma ya food science au course zinazo endana na hizo. Pls
 
Namba ya simu ipo kwenye bandiko la mada, hivyo yeyotr ambae atahitaji kufanya hii biashara anaweza nitafuta.

Kwa biashara hii kupata faida hakikisha unapata maziwa ghafi (toka kwa mfugaji) bei isizid 1,000 hadi 1200Tzs kwa lita moja.

Ukiwa na uhakika wa kupata maziwa chini ya buku kwa lita basu utalamba faida nono.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe ni mtaalam wa vyakula aina zote au umespecify kwenye maziwa tu?
Asante
 
DIT wanatoa diploma ya food science
Ni kweli DIT wana Diploma ya food science na pale SUA wanayo. Lakini hawa wanavigezo vyao kujiunga kwenye course hizo ambazo ni za kisomi zaidi.

Kutokana na uzoefu wako, ni wapi watu wa kawaida kabisa ambao wanataka kujifunza huu ujuzi wa kutengeneza bidhaa za maziwa wanaweza kuyapata .

Kama hutojali unaweza kutaja sehemu unazofahamu hasa MOROGORI wanatoa mafunzo kama hayo au kama wewe unatoa mafunzo rasmi physically kwa wanaotamani kujifunza uso kwa uso ukiacha haya ya hapa Jf.

SIDO sina hakika kama wana mafunzo kama haya na kama unafahamu unaweza kutujuza pia.

Sido hutoa mafunzo hayo.
 
Sido huendesha mafunzo hayo kwa njia kadhaa
1. Hukusanya washiriki kwa pamoja kisha huwafunza
2. Ikiwa kuna MTU atahitaji mafunzo na wakati huo sido haijawa tayari kuyatoa kwa kuzingatia mambo kadhaa, basi sido inalojukumu la kumuunganisha muhitaji na mtaalamu mkufunzi kisha akapatiwa mafunzo yeye binafsi na sido ikaratibu taratibu zingine .

NB wataalamu au wakufunzi binafsi tunaorambulika na sido tupo, ukiwa na uhitaji nicheki kwa maelekezo zaidi.
Karibu.

Nashukuru sana chief!

Sio vibaya ukitoa details kabisa za namna tunavyoweza kukupata kwa sababu taratibu za SIDO nazo zina mlolongo wake. Naona kila wakipita wanakutana na watengeneza sabuni, chaki nk

Unapatikana wapi kwa maana ya mkoa au wilaya unapofanyia shughuli zako ili ikiwezekana tukutembelee kiwandani kwako

Napatikana Kahama mkoa Wa Shinyanga kwa maana ya physical location ya kiwanda changu.
Mafunzo haya kupitia sido nayatoa popote ndani ya Tanzania kulingana na uhitaji.
Mawasiliano kwa maelezo zaidi 0765985977.
 
Back
Top Bottom