Ujasiriamali 2: Usindikaji wa Mtindi (Sour Milk)

mkuu kwahuko sifahamu maduka ila kwahuku yapo maduka yanayouza
unaweza kunielekeza tu,kama uko dodoma,unasema mtaa gani,duka lipi,kiasi kama hata mtu yuko ujiji anaweza kufunga safari anajua nakwenda sehemu fulani karibu na sehemu fulani kuna duka au maduka ntapata nachohitaji
 
mkuu mi nafahamu kariakoo hasa mtaa wa skukuu, ama maduka yaliyopa karibu na shimoni kwa pale kariakoo, pia masoko mengine kama Tandika nayo yanamaduka ya vifungashio
 
Namba ya simu ipo kwenye bandiko la mada, hivyo yeyotr ambae atahitaji kufanya hii biashara anaweza nitafuta.

Kwa biashara hii kupata faida hakikisha unapata maziwa ghafi (toka kwa mfugaji) bei isizid 1,000 hadi 1200Tzs kwa lita moja.

Ukiwa na uhakika wa kupata maziwa chini ya buku kwa lita basu utalamba faida nono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo bei kwa ddm ni mbinde hapa makulu kuna mfugaji anauza lita 2000
 
Back
Top Bottom