Ujasiria mali/Boxi

Ujasiria mali/Boxi

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
4,583
Reaction score
2,953
Huyu angekuwa mbongo yuko China mngetusema sana sisi wapiga boxi

Sasa huyu akifanya hivi hapo bongo ni poa tu...
chinese1.jpg
 
Kwa hiyo na ww kwa akili zako utoke bonge uende ukauze maindi mabichi ughaibuni? Kwa nini usibaki kwenu iringa ukalima maindi na kunywa ulanzi? Wewe jamaa naona bado hujapona vizuri kale kaugonjwa kako. Mambo yako ya kitotokitoto
 
Nikiangalia namba za hiyo pickup hapo mbele napata Mashaka kuwa hapo ni bongo Kama unavyodai
 
Kamwene Mpwa Chris Lukosi vipi wale jamaa walioku"tuhumu" kuwa Sijui umekula au umehifadhi rambi rambi zao umeshawakamata!/???? Nimeuliza tu
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo na ww kwa akili zako utoke bonge uende ukauze maindi mabichi ughaibuni? Kwa nini usibaki kwenu iringa ukalima maindi na kunywa ulanzi? Wewe jamaa naona bado hujapona vizuri kale kaugonjwa kako. Mambo yako ya kitotokitoto

Wala sidhani huu mzigo unaweza kupona ugonjwa wa kufanya mambo yake kitoto kwa kuwa ana akili ya kitoto!
 
huyo anawazuga tu wabongo, usiku ana mbeep kinana wanaelekea serengeti au selou, asubuhi wanarudi na mzigo wa kutosha unapelekwa china, nyie mnaona jamaa kalost
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom