Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,390
- 12,678
Samia ni Copycat ya Jiang Qing aliyekuwa mke wa Chairman Mao Zedong wa China.
Harakati za kisiasa za sasa za Samia ni copy ile ile ya moves za kisiasa alizokuwa akifanya Jiang Qing wakati wa Cultural revolution China.
Ubaya Cultural revolution period ni moja ya nyakati mbovu kuwahi kupita katika historia ya China sawa tu na sasa kwa Samia toka atwae madaraka kufuatia kifo cha Magufuli na kujiingiza kibabe madarakani mwaka jana.
Huyu Mama Jiang Qing aliumiza wengi sana huko China yeye na kundi lake ya Gang of four sawa tu sasa Samia na wenzake wanamtandao.
Wakati wa Cultural revolution taasisi za elimu zilishambuliwa China,wasomi walishambuliwa kwa kuaibishwa na kufungwa kwa mashtaka ya hovyo.
Watu walitekwa,kupotezwa,kuumizwa wakosoaji wote waliumizwa ilifika mpaka ndani ya chama cha kikomunisti wanachama wale walionekana wapo against walikuwa purged,kufungwa na wengine familia zao kuumizwa.
Mambo mengi ya hovyo Jiang Qing alifanya yeye na kundi lake ni sawa tu na yanayoendelea hapa nchini ila mwisho wa siku chama cha kikomunisti kilimfanyia move hivi ya hatari baada ya Mao kufariki alikamatwa yeye na kundi lake na kufunguliwa mashitaka ya yote yale maovu aliyofanya.
Footsteps za Samia zinaendana kabisa na za Jiang Qing kwa sababu Samia haaribu tu kwa watu wa nje bali anaharibu mpaka ndani ya Chama.
Hakuna vita ngumu kuzipigana kama kupigana na watu unaohisi wako upande wako kumbe wanapanga na kusubiri anguko lako.
Jiang Qing alimuadhibu Deng na familia yake vibaya huyu alikuwa mwanachama mwenzake ila huyo huyo Deng alikuja kutwaa madaraka na kuja kumshughulikia Jiang na kundi lake vilivyo.
Huyu Mama alikuwa na kiburi usipime