mtumishidc JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 513 Reaction score 181 Apr 25, 2015 #2 Faida mojawapo ya kufuga paka ni hii! Ujasiri kwa kushambulia au kutoa ishara kwa uwepo wa mdudu hatari ndani ya nyumba!
Faida mojawapo ya kufuga paka ni hii! Ujasiri kwa kushambulia au kutoa ishara kwa uwepo wa mdudu hatari ndani ya nyumba!
Abdulwahid JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 2,766 Reaction score 1,578 Apr 25, 2015 #3 ujasiri tu! mara nyingi hua wanamuua tu
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Apr 25, 2015 Thread starter #4 mtumishidc said: Faida mojawapo ya kufuga paka ni hii! Ujasiri kwa kushambulia au kutoa ishara kwa uwepo wa mdudu hatari ndani ya nyumba! Click to expand... Paka wetu hawa wa mijini wa kudoea makombo kwenye mabar mziki huu hawauwezi
mtumishidc said: Faida mojawapo ya kufuga paka ni hii! Ujasiri kwa kushambulia au kutoa ishara kwa uwepo wa mdudu hatari ndani ya nyumba! Click to expand... Paka wetu hawa wa mijini wa kudoea makombo kwenye mabar mziki huu hawauwezi
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,286 Reaction score 13,460 Apr 26, 2015 #5 mshana jr said: View attachment 246754 Click to expand... mshana jr ww unayapata wap hayo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,456 Reaction score 872,092 Apr 26, 2015 Thread starter #6 Mgirik said: mshana jr ww unayapata wap hayo Click to expand... Mgirik kuna wakati hata mimi najishangaa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mgirik said: mshana jr ww unayapata wap hayo Click to expand... Mgirik kuna wakati hata mimi najishangaa
rushanju JF-Expert Member Joined Nov 3, 2011 Posts 3,327 Reaction score 5,601 Apr 26, 2015 #7 Lkn paka akifanya timing vibaya atakufa yeye.
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,286 Reaction score 13,460 Apr 27, 2015 #8 rushanju said: Lkn paka akifanya timing vibaya atakufa yeye. Click to expand... pusi hadhurik na sumu ya nyoka.....
rushanju said: Lkn paka akifanya timing vibaya atakufa yeye. Click to expand... pusi hadhurik na sumu ya nyoka.....
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,286 Reaction score 13,460 Apr 27, 2015 #9 mshana jr said: Mgirik kuna wakati hata mimi najishangaa Click to expand... haya mambo mara nyingi yapo kijijin kwa mjin ni nadra sana kuona pusi akipambana Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
mshana jr said: Mgirik kuna wakati hata mimi najishangaa Click to expand... haya mambo mara nyingi yapo kijijin kwa mjin ni nadra sana kuona pusi akipambana
B babacollins JF-Expert Member Joined Dec 23, 2010 Posts 901 Reaction score 212 Apr 27, 2015 #10 Muwinda hiwindwa.!!
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Apr 27, 2015 #11 Nyoka kapatikana