Ujanna Kwingine Bana,,.!!


Kisoda2

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2008
Messages
1,827
Likes
482
Points
180
Kisoda2

Kisoda2

JF-Expert Member
Joined May 30, 2008
1,827 482 180
Mzee mmoja aliagizwa SIDIRIA na mke wake,alipofika dukani akawa amesahau size gani!
Mama muuzaji akamwambia; Njoo unishike maziwa, utakumbuka ukubwa wa SIDIRIA uliyoagizwa.
Mzee aliposikia hivyo akasema dah!! Samahani kumbe niliagizwa na CHUPI!!!
Mama: Nyoo mshenzi mkubwa wewe!!:heh::heh::heh::heh:
 

Forum statistics

Threads 1,273,084
Members 490,268
Posts 30,470,799