Ujana wako utumie wapi uje malizana na mie!!

Ila bottom line ndo ileile wajameni,

tukizikamata tu....na miprado hiyo......tunarudi zetu kwenye green pastures

sawa B?
 
Ila bottom line ndo ileile wajameni,

tukizikamata tu....na miprado hiyo......tunarudi zetu kwenye green pastures

sawa B?

vyovyote vile
hata mimi ushauri wangu kwenu ni kwamba muwe mnaangalia kwenye mapenzi ya dahti basi......
sio kulalama tu kila wakati ilhali mmeyataka wenyewe B!!!
 
vyovyote vile
hata mimi ushauri wangu kwenu ni kwamba muwe mnaangalia kwenye mapenzi ya dahti basi......
sio kulalama tu kila wakati ilhali mmeyataka wenyewe B!!!

asante B kwa ushauri....nimekupata vizuri tu apo.....😀
 
Ila bottom line ndo ileile wajameni,

tukizikamata tu....na miprado hiyo......tunarudi zetu kwenye green pastures

sawa B?
problem ni kwamba tukizikamata hatukumbuki tena kurudi kwa hawa walituvumilia wakati tumechoka,tunaenda kutafuta madem matawi ya juu na ambao wanajua kweli kuzitumia hizo njuluku maana wao hawajui kama we mchovu tu,wanaona hili jinga fulani la mererani basi,hiyo oda yao mwenyewe utakoma
 
kumbe u were clear, basi tuuuu.....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…