It all depends on what you want and need, For a chick kama unataka true love kuna majamaa kibao; sema usibague kwasababu mfukoni hana fedha, u dont know plans zake so u dont know what you could be missing.
Hiyo Kauli ya tafute hela halafu ndiyo utafute mademu ni Garbage (taka taka tupu) Ukitaka mademu wewe just be confident and develop your game (Utawakimbia mwenyewe!) Ukweli ni kwamba hata mademu wanao nyonya mishiko kwa vizee wanataka gud times na machizi! (lazima utakuta kuna chizi linalompagawisha daily linanunuliwa pamba, misosi, mitungi yet chizi ana-show up na tarimbo tuu)...
Truth b told ni kwamba kuna mademu wengi mno ku generalize kwamba wako hivi au hivyo... Ukitaka kuparuliwa wapo, Ukitaka ma-romance na love wako, Ukitaka mwangaikaji nawo wapo and same goes for Guys....So it depends on what you want.
Personally anybody who has to use money to get love or sex is pathetic and somebody who needs to be given money in exchange for their love or sex is also sad and pathetic... Lakini we are not complaing.... As they say different strokes for different folks!
Kwenye bold hapo.
Nimecheka sana...hahahaha
nashangaaa, wenyewe wamejitoa muhanga......tena mchune mpaka mbaki mishipa na mifupa.....dayyyyyyyyyyyym!!![/QUOTE]
Mhhhhhh!!!!!!!!!πππ
nashangaaa, wenyewe wamejitoa muhanga......tena mchune mpaka mbaki mishipa na mifupa.....dayyyyyyyyyyyym!!![/QUOTE]
Mhhhhhh!!!!!!!!!πππ
kwenye red meant to say 'mchunwe'
vipe barafu wa moyo wangu?? mbona unaguna??
ila huyo dada alikuwa tofauti kiukweli kama sikosei yuko vere commited ..kina dada wanavyotafuta mabuzi ya kuchuna kwa kasi ya ajabu...na ki Prado kimepaki hapo bado akamtolea uvivu ...
Mfano wa kuigwa
kwenye red meant to say 'mchunwe'
vipe barafu wa moyo wangu?? mbona unaguna??
Mguno wa furaha huo mama......ndo maana waona natabasamu
Mguno wa furaha huo mama......ndo maana waona natabasamu
hahaaaa nilianza kuogopa nikahisi umenisoma ndivyo sivyo......
Huyo usijekuta kishawahi kumegwa na hilo dingi sasa kapata dogo mwenye kisu pia kwa hiyo anamwona babu dingi wa watu kama mkosi tu.
hivi lizy si ukijua chanzo cha tatizo ndio unaenda kupambana na kile chanzo ili uue tatizo jamani?
sasa wanalalama tuuuu oooh sisi hamtutaki mantaka wazee wenye pesa oooh sijui nini...
dont waste time...go get them monies na mrudi mpate mtakacho.....[/QUOTE]
Mtaishia kuchafuliwa chafuliwa tuu tuuuuuu tuuuuuuu!!!......lol?π
duh!,kweli no money no love..kwa style hii wazee wataendelea ku-win!!tafuteni na nyie fwedha
duh!,kweli no money no love..kwa style hii wazee wataendelea ku-win!!
hivi lizy si ukijua chanzo cha tatizo ndio unaenda kupambana na kile chanzo ili uue tatizo jamani?
sasa wanalalama tuuuu oooh sisi hamtutaki mantaka wazee wenye pesa oooh sijui nini...
dont waste time...go get them monies na mrudi mpate mtakacho.....[/QUOTE]
Mtaishia kuchafuliwa chafuliwa tuu tuuuuuu tuuuuuuu!!!......lol?π
kumbe nyie mna uchafu eeeh!!!

πππ...............

Correction................'Kuchafuana'.
Correction................'Kuchafuana'.
let it be that way.........
Correction................'Kuchafuana'.
Iedit basi hiyo post yako maana bado yasomeka 'kuchafuliwa'.....
he hee,mkuu kitanzi chako hicho usigune,unavaa mwenyewe kama cheni saafi ya gold ngoja ianze kubana shingo.nashangaaa, wenyewe wamejitoa muhanga......tena mchune mpaka mbaki mishipa na mifupa.....dayyyyyyyyyyyym!!![/QUOTE]
Mhhhhhh!!!!!!!!!πππ
he hee,mkuu kitanzi chako hicho usigune,unavaa mwenyewe kama cheni saafi ya gold ngoja ianze kubana shingo.
ukimaanisha nini??