Ujana wako utumie wapi uje malizana na mie!!

Nimewakumbuka sijui TMK gani vile wanaimbaga ivo

lakini ndo ivo tunazisaka by the time tunakuwa nazo za ki ivyo, hampo tena wapo wengine, dynamics zinakuwa zimeshachange japo system ndo hiyo hiyo B

Kwa hiyo bora tu kwa sasa waendelee kutowabania wazee........!!! 🙂
 
Nimewakumbuka sijui TMK gani vile wanaimbaga ivo

lakini ndo ivo tunazisaka by the time tunakuwa nazo za ki ivyo, hampo tena wapo wengine, dynamics zinakuwa zimeshachange japo system ndo hiyo hiyo B

ndo nikasema eeeeh katafuteni kisha mrudi mje mjitwalie mnaowataka be our doughters or sisters sisi tena tutakuwa nje ya ulingo
sasa hapo tena mpambane na kauli 'ujana ule na nani, uzee wako uuntake mie lol'!!
 
Hivi hii miprado mayai inawazingua sana hawa watoto wa kike eeh? sasa mtu akiliendesha ndo limekuwa lake...lol
si unajua madem wa kibongo hata ukiwa taxi dreva wao poa tu maana si una miguu minne,wanachanua tu chwaaaaa.
 
hhahaaa as if that is the only refuge for us huh!!!
 
si unajua madem wa kibongo hata ukiwa taxi dreva wao poa tu maana si una miguu minne,wanachanua tu chwaaaaa.

watch your generalization here BAK!!!
sie wenyewe tunajua kuzisaka sasa zako zitanibabaisha nini bwana wee
some of us 9tena majority of wanawake siku hizi ) pesa kwao sio issue kabisaaa baba, its all about true love man!!!!!
 
>>Kibinti kinaomba hela ya saloon unakiambia subiri nilimkopesha Fidel80 ngoja nimcall aniletee ..wakati dingi mkono unatumbukia mfukoni fasta bila maelezo .
habari ndo hiyo!
 
poa tu najua hutafuti mamii,mama mia ana soo nimeghairi,kwanza simuoni nieona mahali kama kapigwa ban vile.

sisi wenzio tunasonga mbele fulu mapendo.....
haya tafuta mwingine hpoe hiyo phrase haitakuhusu.....LOL!!
 
Nimewakumbuka sijui TMK gani vile wanaimbaga ivo

lakini ndo ivo tunazisaka by the time tunakuwa nazo za ki ivyo, hampo tena wapo wengine, dynamics zinakuwa zimeshachange japo system ndo hiyo hiyo B

Halafu wewe Kaizer, mbona???????

Utaniudhi!
 
wanaelewa sana ila wabishi tu, sijui kwa nini.

Ukisema uanze naye hana kitu,baadae akizipata tu anatimua, so why the suffer??

"go get the monies na mrudi mpate mtakacho" by bht-jf

hapo chacha......
 
Hivi mkulu masaki nina kajiswali hapo

kwa nini akina dada wa kibongo akiwa anaendesha gari kuwe na jua kusiwe na jua utamkuta katinga limiwani likuubwa la jua lile? ndo kusemaje..macho hayaoni wakiwa kwenye usukani au ninini? ulishawahi kuobserve hili nina aamini

kurudi kwa dogo dogo ndo hatuna budi.....
 
>>Kibinti kinaomba hela ya saloon unakiambia subiri nilimkopesha Fidel80 ngoja nimcall aniletee ..wakati dingi mkono unatumbukia mfukoni fasta bila maelezo .
habari ndo hiyo!

UMEONA EEEH!! mimi ndo maana nasema sometimes hawa huw awajichongea mislaba yao wenyewe na kujitundika .....
 
watch your generalization here BAK!!!
sie wenyewe tunajua kuzisaka sasa zako zitanibabaisha nini bwana wee
some of us 9tena majority of wanawake siku hizi ) pesa kwao sio issue kabisaaa baba, its all about true love man!!!!!
sijasema wewe mama usikasirike nazungumzia uswazi tunakokaa,najua wewe tawi lajuu
 
suala la kutinga hayo ma-sani gogoz usiwasingizie wadada tu hata wakaka wapo kibao B!! Be fair bana
Anyway that tells me interest yako inaelemeaga the opposite sex....
 
alipoteza ujana wake katika harakati zakutafuta hilo liprado ambalo inawezekana ndo haswa lililomvutia bidada kwahiyo anamwonea kumtoa nishai kwa hilo.
sasa kama anataka ale ujana na prado juu....kilichobaki ni kumtafuta kijana wale wote ujana huku wakitafuta prado lao...uzee waje kuuona pamoja wakiwa na prado lao na kila mtu akiwa kala sawa na mwenzie.
 
>>Kibinti kinaomba hela ya saloon unakiambia subiri nilimkopesha Fidel80 ngoja nimcall aniletee ..wakati dingi mkono unatumbukia mfukoni fasta bila maelezo .
habari ndo hiyo!
nimecheka hapa mpaka basi,FL kumbe nawewe umo eeh??si unajua tena vidili vyenyewe vya kuungaunga,lakini akizipata utaona mbwembwe zake sasa.
 
sijasema wewe mama usikasirike nazungumzia uswazi tunakokaa,najua wewe tawi lajuu

sijakasirika jamani BAK, afu hapo kwenye red ni nini maana yake??

point nlokua najaribu kuchora hapo ni kwamba wadada wengi siku hiz ni wachapa kazi...we are real struggling na hatupendi kuwa dependant.....
so hijalishi mie mi ni tawi au mzizi, napambana kike and I am standing tall for that....
 
sisi wenzio tunasonga mbele fulu mapendo.....
haya tafuta mwingine hpoe hiyo phrase haitakuhusu.....LOL!!
no nimechoka,ntasubiri maybe later naweza bahatisha somewhere around.
 
Wanaelewa sana ila wabishi tu, sijui kwa nini.

Ukisema uanze naye hana kitu,baadae akizipata tu anatimua, so why the suffer??

"Go get the monies na mrudi mpate mtakacho" by bht-JF

Tatizo hao walionazo na wenye hayo ma Prado ni wapigaji tu! Akishakula mara moja anaanza mbele, ni wachache wanao-maintain hizo nyumba ndogo. Na mpaka msichana ampate wa kum-mantain anakuwa tayari kashamegwa wa vizee vichache!

Kuna mmoja namfahamu alipangishwa nyumba nzima fully furnished na lizee limoja, ''nikamtumia'' kadri lilivyotaka kwa huo mwaka mzima. Mwaka ukaisha, kodi ikaisha, mzee kashamchoka binti. Binti karudi Uswazi, kawa mlokole!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…