Ujana wako utumie wapi uje malizana na mie!!

Ujana wako utumie wapi uje malizana na mie!!

Joined
Mar 6, 2010
Posts
74
Reaction score
2
Jamani hili ni kwa madada wote
emmbu twendeni na wakati jamani
kuna dada mmoja jana akusita kumwsha
mzee wa watu na tai lake akiwa na prado nje

akampa""we ujana uanze na nani uzee umalize na mie""

embu tukumbukeni na sie vijana jamani hii mizee itawafia

big up mama uliewasha nyota za zambarau kwa hawa mizee yetu
 
Kama kweli alikusudia kusema hivyo basi vijana neema itakuja upande wetu. Ila wanawake wengi mkuu wanataka wanaume ambao eti wenyewe wanasema wako stable ktk maisha. Sasa mpaka mtu anapokua stable inamaanisha ujana ushaisha ndio anafikia stage hiyo ya kuelekea uzeeni. Vijana wenzao hatuwezi kuendesha hayo maprado ndio maana wanajikuta mikononi mwa wazee. Waache tamaa watakua na sisi wa rika lao,nasi tunaumia sana tunapoona dada mzuri lakini wazee wanatupokonya kwa mifwedha yao tu!
 
tafuteni na nyie fwedha
 
tafuteni na nyie fwedha

sisis....hatuna kituu...sisi hatuna kitu

fwedha tukizitafuta hadi tuzipate, tunakuwa 'wazee' tayari,

na nyie mnakuwa ndo ivo tena sio vijana ki ivyo,

inabidi tuwatafute wadogo zenu au?
 
tafuteni na nyie fwedha
Ndio hivyo sasa tutakuja kuzipata wakati tushakua na umri kama wa huyo jamaa anaeambiwa ""we ujana uanze na nani uzee umalize na mie""
 
Tatizo ni kupenda kwenu kitonga!!!. mara unataka starlet, sijui swift, spacio...Mkibadirika hata hiyo mizee itaogopa kuwa-bip.
 
bht: You made my day shosti.

hivi lizy si ukijua chanzo cha tatizo ndio unaenda kupambana na kile chanzo ili uue tatizo jamani?

sasa wanalalama tuuuu oooh sisi hamtutaki mantaka wazee wenye pesa oooh sijui nini...
dont waste time...go get them monies na mrudi mpate mtakacho.....
 
tafuteni na nyie fwedha
mie nnazo,njoo ule kuku,bhata,etc mprado pia upo,si hata fundi magari anaweza kuwa nao siku mojamoja
icon10.gif
 
sisis....hatuna kituu...sisi hatuna kitu

fwedha tukizitafuta hadi tuzipate, tunakuwa 'wazee' tayari,

na nyie mnakuwa ndo ivo tena sio vijana ki ivyo,

inabidi tuwatafute wadogo zenu au?

unaimba au (ushaanza kujitangaza)

kwani mnalalamika nini?? mnatoswa kwa vile hamna hela.....nendeni mkazisake mrudi mjitwalie manowataka (kama ni wadogo zetu hayaaaa....)
 
sisis....hatuna kituu...sisi hatuna kitu

fwedha tukizitafuta hadi tuzipate, tunakuwa 'wazee' tayari,

na nyie mnakuwa ndo ivo tena sio vijana ki ivyo,

inabidi tuwatafute wadogo zenu au?

Binamu unamwaga pointi sana! Yaani wakati sisi tukishakuwa na fwedha, tayari tunakuwa tunakaribia kuwa wazee, na wao pia wanakuwa wameanza kuzeeka (tayari wameshaa anza kuvaa miwani ya macho na kuanzisha vi NGO vya haki za wanawake!)!

Matokeo yake tunarudi kwa dogo dogo, kwa hiyo, kampeni ya ''uzee wako unaniletea mimi, kwani ujana wako uliutumia na nani'' kamwe haiwezekana!!
 
mie nnazo,njoo ule kuku,bhata,etc mprado pia upo,si hata fundi magari anaweza kuwa nao siku mojamoja
icon10.gif

BK vipi tena kwani nimekwambia mie natafuta?? Mama mia vipi?
 
Tusubiri tu na sisi tutakapofika uzeeni na kumiliki PRADO tuwe na Sugar daddy za watoto wa hawa hawa wa akina bht wanao encourage pesa mbele zaidi ya UTU
 
Tusubiri tu na sisi tutakapofika uzeeni na kumiliki PRADO tuwe na Sugar daddy za watoto wa hawa hawa akina bht wanao encourage pesa mbele zaidi ya UTU

kueleweka ndivyo sivyo nilikuona.......

hivi kwani waichana wote mnaotongoza wanataka pesa?
wangapi wanawatolea nje wazee na pesa zao? (ujana ulikula na nani uzee ule na mie?)

cant you read people you tongoza bana aaaah!!! na bado.....mtaipata!!
 
unaimba au (ushaanza kujitangaza)

kwani mnalalamika nini?? mnatoswa kwa vile hamna hela.....nendeni mkazisake mrudi mjitwalie manowataka (kama ni wadogo zetu hayaaaa....)

Nimewakumbuka sijui TMK gani vile wanaimbaga ivo

lakini ndo ivo tunazisaka by the time tunakuwa nazo za ki ivyo, hampo tena wapo wengine, dynamics zinakuwa zimeshachange japo system ndo hiyo hiyo B
 
hivi lizy si ukijua chanzo cha tatizo ndio unaenda kupambana na kile chanzo ili uue tatizo jamani?

sasa wanalalama tuuuu oooh sisi hamtutaki mantaka wazee wenye pesa oooh sijui nini...
dont waste time...go get them monies na mrudi mpate mtakacho.....

Wanaelewa sana ila wabishi tu, sijui kwa nini.

Ukisema uanze naye hana kitu,baadae akizipata tu anatimua, so why the suffer??

"Go get the monies na mrudi mpate mtakacho" by bht-JF
 
mie nnazo,njoo ule kuku,bhata,etc mprado pia upo,si hata fundi magari anaweza kuwa nao siku mojamoja
icon10.gif

Hivi hii miprado mayai inawazingua sana hawa watoto wa kike eeh? sasa mtu akiliendesha ndo limekuwa lake...lol
 
BK vipi tena kwani nimekwambia mie natafuta?? Mama mia vipi?
poa tu najua hutafuti mamii,mama mia ana soo nimeghairi,kwanza simuoni nieona mahali kama kapigwa ban vile.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom