Ujambazi wa kuvamia nyumba washika kasi Arusha.


Kumbeeee.. ndio maana mshua alikomaa kulimiliki...
 
Hao watakua wametumwa hao,machalii wa mererani wamezulumiana
 
Mimi naona hao majamaa walitumia trick yakusema hivyo hili wamtishe wakijua kwamba huenda alikua amejipanga.
 
huyo jamaa ni **** kweli yaani ana silaha ya ukweli hivyo halafu anawakimbia hakuna jambazi jasiri angemtwanga mmoja tu wangetafutana..
 
huyo jamaa ni **** kweli yaani ana silaha ya ukweli hivyo halafu anawakimbia hakuna jambazi jasiri angemtwanga mmoja tu wangetafutana..
sasa jamaa bastola ya nn, kama watu wakiingia tu home anakimbia na kumwacha mke na watoto?

alafu utashangaa majambazi walikuwa na nondo alafu yy anakimbilia kwenye paa!!!!

mi namshauri bastola arudishe tu polis, coz siku wakimtait watamtwanga nayo, coz watamshamgaa hawezi kutumia kifaa cha kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…